• Maswali ya Mara kwa Mara (MMM) |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • e-Mrejesho |
Manyara Regional Secretariat
Manyara Regional Secretariat

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Sekretarieti ya Mkoa wa Manyara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Sehemu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Huduma za Elimu
      • Serikali za mitaa
      • Huduma za Afya
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Uhasibu
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Mji wa Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hanang'
    • Halmashuri ya Wilaya ya Mbulu
    • Halmashauri ya Mji Mbulu
    • Halmashauri ya wilaya ya Kiteto
    • Halmasahuri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Madini
    • Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Huduma kwa wateja
    • Huduma kwa wafanyakazi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogondogo
    • Ripoti
    • Mpango Kazi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Picha
    • Hotuba
    • Video
    • Habari

RC SENDIGA AZINDUA KLINIKI YA MADAKTARI BINGWA MKOANI MANYARA

Imechapishwa Tarehe: November 20th, 2024

Mkuu wa mkoa wa manyara Mhe. Queen Cuthbert Sendiga amezindua Kliniki maalumu ya Madaktari Bingwa wa ndani ya Mkoa wapatao Kumi na tano (15). Kliniki hiyo imezinduliwa leo katika wilaya ya Simanjiro ikiwa na lengo la kutoa huduma bobezi za matibabu kwa wananchi wa Wilaya zote tano (5) za Mkoa Manyara.

Akizindua Kliniki hiyo Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Mhe. Queen Cuthbert Sendiga,  amesema zoezi la utoaji huduma litadumu kwa siku tano (5) katika Hospitali ya Wilaya ya Simanjiro.

RC Sendiga, ameelezwa kua kwenye Kliniki hiyo ambayo itakuwa inafanyika kila baada ya miezi mitatu itahusisha utoaji huduma za magonjwa ya kinamama na watoto, shinikizo la damu la juu, kisukari, Magonjwa ya Macho na magonjwa mengineyo na kuwapunguzia wananchi gharama za kufata matibabu hayo meeneo ya mbali ikiwa ni utekelezaji wa maelekezo ya Rais Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye amekuwa akiwatuma mikoani Madaktari Bingwa wa Samia kutoa huduma mbalimbali za kitabibu.

Sambamba na hilo RC, amekabidhi pikipiki nne (4) na viti mwendo sita (6) vya wagonjwa kwa ajili ya kusaidia na kurahisha huduma kwa watumishi wa idara ya afya katika vijiji vya lolipande, Ruvu Remiti, Kitwai na Mwajanga.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - BABATI MJI June 29, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI - BABATI MJI June 17, 2022
  • NAFASI ZA KAZI - HALMASHAURI YA MJI WA BABATI May 24, 2022
  • Kanuni za Utoaji na Usimamizi wa Mikopo Kwa Vikundi vya Wanawake, Vijana Na Watu Wenye Ulemavu May 17, 2019
  • Tazama Zote

Habari mpya

  • NAIBU WAZIRI WA AFYA AAGIZA MIRADI ILIYOFIKIA ASILIMIA 96 NA 94 IMALIZIKE NA KUANZA KAZI MARA MOJA

    November 26, 2025
  • MKUU WA MKOA WA MANYARA AKABIDHIWA MAJIKO BANIFU 7,914 KWA BEI YA RUZUKU

    November 10, 2025
  • WAKURUGENZI WA HALMASHAURI ZA MKOA WA MANYARA WATAKIWA KUSIMAMIA UTEKELEZAJI WA MIKATABA YA LISHE.

    September 12, 2025
  • MKUU WA MKOA WA MANYARA ATETA NA WAANDISHI WA HABARI KUHUSIANA NA UCHAGUZI MKUU 2025

    October 21, 2025
  • Tazama Zote

Video

Vuta Pumzi, Funguka, Ongea na Mkuu wa Mkoa
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Miongozo ya OR-TAMISEMI
  • Kanuni za Uchaguzi
  • Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi
  • Mwongozo wa OPRAS
  • Maadili
  • Fomu za Opras
  • Fomu ya Ugonjwa

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • wizara ya Fedha
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Siri
    • Kanusho
    • Ramani Elekezi

Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.