Baadhi ya vikundi mbalimbali vya burudani wakiwa huko Minjingu kumpokea Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan alipotembelea kiwanda cha Mbolea cha Minjingu 16 Novemba,2018.
Mkurugenzi wa Kiwanda cha Minjingu Bw. Hans Toxic akimkarisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan katika kiwanda cha Minjingu 16 Novemba,2018.
kutoka kushoto Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya yaBabati Bw.Hamisi Malinga, Waziri wa TAMISEMI Suleiman Jaffo, Wziri wa Madini Mh.Angella Kairuki na baadhi ya viongozi wakiwasili katika kiwanda cha Minjingu kumpokea Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan 16 Novemba,2018.
Baadhi ya Wabunge na wananchi waliojitokeza kumpokea Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan huko Minjingu 16 Novemba,2018.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan akiongea na wananchi huko Minjingu 16 Novemba,2018.

Mbunge wa Viti Maalumu CCM Mh.Martha Umbullah akiwa na Diwani wa Viti Maalum CCM Mh.Rose Muryang wakiwa katika mkutano wa ndani na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan huko Minjingu 16 Novemba,2018.
Mbunge wa Viti Maalumu CCM Mh.Martha Umbullah na Mkuu wa Idara ya Maji Mkoa wa Manyara Bi. Mary Mbowe wakiwa katika mkutano wa ndani na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan huko Minjingu 16 Novemba,2018.
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Babati (BAWASSA) Mhandisi. Iddi Msuya akisoma taarifa ya Mamlaka ya maji kwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan alipotembelea BAWASSA 16 Novemba,2018.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan(kushoto) akiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya BAWASSA alipotembelea Ofisini hapo 16 Novemba,2018.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Bodi katika Jengo la BAWASSA 16 Novemba,2018.
Jiwe la Msingi la Ofisi za BAWASSA lililowekwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan 16 Novemba,2018.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Bodi katika Jengo la BAWASSA 16 Novemba,2018.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan akipewa maelezo juu ya ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara alipotembelea Hospitali hiyo 16 Novemba,2018.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan akipewa maelezo juu ya ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara alipotembelea Hospitali hiyo 16 Novemba,2018.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan akikagua Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara alipotembelea Hospitali hiyo 16 Novemba,2018.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha wageni alipowasili Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara 16 Novemba,2018.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Manyara Bw.Missaile Musa akisoma taarifa ya ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara kwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan alipotembelea Hospitali hiyo 16 Novemba,2018.
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh.Alexander Mnyeti akimkaribisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan alipotembelea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa 16 Novemba,2018.
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Manyara Dkt. Damas kayera akitoa maelezo kwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan alipotembelea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara 16 Novemba,2018.
Waziri wa Ofisi ya Rais -TAMISEMI Mh.Suleiman Jaffo akiongea kabla ya kumkaribisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan alipotembelea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara 16 Novemba,2018.
Waziri wa Ofisi ya Rais -TAMISEMI Mh.Suleiman Jaffo akimtambulisha Mbunge wa Babati Mh.Pauline Gekul wakati wa ziara ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan alipotembelea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara 16 Novemba,2018.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan akiongea na wafanyakazi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara alipotembelea Hospitali hiyo16 Novemba,2018.
Jiwe la Msingi la Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara lililowekwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan 16 Novemba,2018.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Babati Bw. Fortunatus Fwema aliapozindua Barabara za lami za Mjini Babati 16 Novemba,2018.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Afisa Mipango wa Halmashauri ya Mji wa Babati Bw.Khamis Katimba aliapozindua Barabara za lami za Mjini Babati 16 Novemba,2018.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan akizindua Barabara za Lami mjini Babati 16 Novemba,2018.
Kutoka ushoto ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Babati Bw.Kibiki Mohamed,Mkuu wa Wilaya ya Babati Bi.Elizabeth Kitundu na Mbunge wa Babati Mh.Pauline Gekul wakiwa katika mradi wa Barabara za lami uliozinduliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan 6 Novemba,2018.
Jiwe la Msingi la Barabara za lami Mjini Babati lililowekwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan 16 Novemba,2018.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Babati Bw.Fortunatus Fwema akisoma taarifa ya ujenzi wa mradi wa Barabara za lami kwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan 16 Novemba,2018.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan akiwasili katika viwanja vya Kwaraa kufanya mkutano wa hadhara 16 Novemba,2018.
Baadhi ya Wabunge wa Mkoa wa Manyara wakiwa katika mkutano wa hadhara na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan katika viwanja vya Kwaraa 16 Novemba,2018.
Baadhi ya Viongozi wa CCM Mkoa wa Manyara wakiwa katika mkutano wa hadhara na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan katika viwanja vya Kwaraa 16 Novemba,2018.
Mkuu wa Wilaya ya Babati Bi. Elizabeth Kitundu akisoma taarifa ya wilaya kwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan katika Viwanja vya Kwaraa 16 Novemba,2018.
Baadhi ya Viongozi wa vikosi vya ulinzi na usalama Mkoa wa Manyara wakiwa katika mkutano wa hadhara na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan katika viwanja vya Kwaraa 16 Novemba,2018.
Baadhi ya Viongozi wa CCM Mkoa wa Manyara wakiwa katika mkutano wa hadhara na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan katika viwanja vya Kwaraa 16 Novemba,2018.
Baadhi ya Viongozi wa CCM Mkoa wa Manyara wakiwa katika mkutano wa hadhara na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan katika viwanja vya Kwaraa 16 Novemba,2018.
Baadhi ya Viongozi wa CCM Mkoa wa Manyara wakiwa katika mkutano wa hadhara na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan katika viwanja vya Kwaraa 16 Novemba,2018.
Baadhi ya wananchi wakiwa katika mkutano wa hadhara na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan katika viwanja vya Kwaraa 16 Novemba,2018.

Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.