Vijana wa Scout Mkoa wa Manyara wakiwa tayari kuupokea Mwenge wa Uhuru 2018 eneo la Minjingu 19 Septemba,2018.
Wakimbiza Mwenge kimkoa (Mstari wa Mbele) na Wakimbiza Mwenge wa Halmashaurio ya Wilaya ya Babati wakiwa tayari kuupokea Mwenge wa Uhuru katika eneom la Minjingu 19 Septembe,2018.
Vijana wa Scout Mkoa wa Manyara na Kiongozi wao wakiwa tayari kuupokea Mwenge wa Uhuru 2018 eneo la Minjingu 19 Septemba,2018.
Baadhi ya wafanyakazi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Manyara na wananchi waliojitokeza kuupokea Mwenge wa Uhuru eneo la Minjingu 19 Septemba, 2018.

Baadhi ya wananchi waliojitokeza kuupokea Mwenge wa Uhuru eneo la Minjingu 19 Septemba, 2018.
Baadhi ya wafanyakazi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Manyara na wafanyakazi wa Halmashauri mbalimbali waliojitokeza kuupokea Mwenge wa Uhuru eneo la Minjingu 19 Septemba, 2018.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Manyara (kulia) akiwa na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM wakiwa kwenye mapokezi ya Mwenge wa Uhuru 19 Septemba,2018.
Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Manyara wakiwa tayari kuupokea Mwenge wa Uhuru eneo la Minjingu 19 Septemba, 2018.
Daktari (kulia) na Muuguzi kutoka Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Manyara wakiwa tayari kuupokea Mwenge wa Uhuru eneo la Minjingu 19 Septemba, 2018.
Baadhi ya wajumbe wa Wilaya ya Babati wakiwa tayari kuupokea Mwenge wa Uhuru eneo la Minjingu 19 Septemba, 2018.
Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Babati wakiwa tayari kuupokea Mwenge wa Uhuru eneo la Minjingu 19 Septemba, 2018.
Vijana wa Shule msingi Mkoani wa Manyara wakiwa tayari kuupokea Mwenge wa Uhuru 2018 eneo la Minjingu 19 Septemba,2018.
Baadhi ya wafanyakazi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Manyara waliojitokeza kuupokea Mwenge wa Uhuru eneo la Minjingu 19 Septemba, 2018.
Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Manyara wakiwa tayari kuupokea Mwenge wa Uhuru eneo la Minjingu 19 Septemba, 2018.
Wakimbiza Mwenge kimkoa wakiwa tayari kuupokea Mwenge wa Uhuru katika eneom la Minjingu 19 Septembe,2018.
Vijana wa Scout Mkoa wa Manyara wakiwa tayari kuupokea Mwenge wa Uhuru 2018 eneo la Minjingu 19 Septemba,2018.
Afisa Utamaduni Halmashauri ya Wilaya ya Babati Bi. Beatrice na baadhi ya wananchi wakiwa kwenye mapokezi ya Mwenge wa Uhuru 2018 huko Minjingu tarehe 4 Septemba,2018
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati Bw.Hamis Malinga na baadhi ya wasanii wakisakata Rhumba kwenye mapokezi ya Mwenge wa Uhuru 2018 huko Minjingu tarehe 4 Septemba,2018
Wananchi mbalimbali wakiwa kwenye mapokezi ya Mwenge wa Uhuru 2018 huko Minjingu tarehe 4 Septemba,2018
Wananchi mbalimbali wakiwa kwenye mapokezi ya Mwenge wa Uhuru 2018 huko Minjingu tarehe 19 Septemba,2018
Wananchi mbalimbali wakiwa kwenye mapokezi ya Mwenge wa Uhuru 2018 huko Minjingu tarehe 19 Septemba,2018
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh.Alexander Mnyeti (kushoto) akiwa na baadhi ya watumishi wa Mkoa na Siasa Mkoa wa Manyara katika mapokezi ya Mwenge wa Uhuru huko Minjingu tarehe 19 Setemba,2018.
Wasanii na baadhi ya wananchi wakiwa kwenye mapokezi ya Mwenge wa Uhuru 2018 huko Minjingu tarehe 19 Septemba,2018
Mwenge wa Uhuru 2018 ukiwasili huko Minjingu tarehe 19 Septemba,2018
Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa Bw.Charles Kabeho akivalishwa Skafu na Scout wa Mkoa wa Manyara katika mapokezi ya Mwenge wa Uhuru tarehe 19 Septemba,2018.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa Bw.Charles Kabeho akipigiwa salute kutoka kwa Scout wa Mkoa wa Manyara katika mapokezi ya Mwenge wa Uhuru tarehe 19 Septemba,2018.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa Bw.Charles Kabeho akisalimia na Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh.Alexander Mnyeti katika mapokezi ya Mwenge wa Uhuru tarehe 19 Septemba,2018.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa Bw.Charles Kabeho akisalimiana na Kamishna wa Uhamiaji Mkoa wa Manyara katika mapokezi ya Mwenge wa Uhuru tarehe 19 Septemba,2018.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa Bw.Charles Kabeho akisalimiana na Mshauri wa Mgambo Mkoa wa Manyara katika mapokezi ya Mwenge wa Uhuru tarehe 19 Septemba,2018.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa Bw.Charles Kabeho akisalimia na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara katika mapokezi ya Mwenge wa Uhuru tarehe 19 Septemba,2018.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa Bw.Charles Kabeho akisalimia na Kamanda wa Jeshi la Magereza Mkoa wa Manyara katika mapokezi ya Mwenge wa Uhuru tarehe 19 Septemba,2018.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa Bw.Charles Kabeho akisalimiana na Kamanda wa Jeshi la Zima moto na Uokoaji Mkoa wa Manyara katika mapokezi ya Mwenge wa Uhuru tarehe 19 Septemba,2018.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa Bw.Charles Kabeho akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Mbulu katika mapokezi ya Mwenge wa Uhuru Mkoani Manyara tarehe 19 Septemba,2018.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa Bw.Charles Kabeho akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Kiteto katika mapokezi ya Mwenge wa Uhuru Mkoani Manyara tarehe 19 Septemba,2018.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa Bw.Charles Kabeho akisalimiana na Mwananchi katika mapokezi ya Mwenge wa Uhuru Mkoani Manyara tarehe 19 Septemba,2018.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa Bw.Charles Kabeho akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Manyara katika mapokezi ya Mwenge wa Uhuru Mkoani Manyara tarehe 19 Septemba,2018.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa Bw.Charles Kabeho akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Manyara Mh.Ester Mahawe katika mapokezi ya Mwenge wa Uhuru Mkoani Manyara tarehe 19 Septemba,2018.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa Bw.Charles Kabeho akisalimiana na wafanyakazi wa Mkoa wa Manyara katika mapokezi ya Mwenge wa Uhuru Mkoani Manyara tarehe 19 Septemba,2018.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa Bw.Charles Kabeho akisalimiana na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang katika mapokezi ya Mwenge wa Uhuru Mkoani Manyara tarehe 19 Septemba,2018.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa Bw.Charles Kabeho akisalimiana na wafanyakazi wa Mkoa wa Manyara katika mapokezi ya Mwenge wa Uhuru Mkoani Manyara tarehe 19 Septemba,2018.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa Bw.Charles Kabeho akisalimiana na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati katika mapokezi ya Mwenge wa Uhuru Mkoani Manyara tarehe 19 Septemba,2018.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa Bw.Charles Kabeho akisalimiana na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Babati katika mapokezi ya Mwenge wa Uhuru Mkoani Manyara tarehe 19 Septemba,2018.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa Bw.Charles Kabeho akisalimiana na wafanyakazi wa Mkoa wa Manyara katika mapokezi ya Mwenge wa Uhuru Mkoani Manyara tarehe 19 Septemba,2018.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa Bw.Charles Kabeho akisalimiana na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM Mkoa wa Manyara katika mapokezi ya Mwenge wa Uhuru Mkoani Manyara tarehe 19 Septemba,2018.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa Bw.Charles Kabeho akiwa jukwaani na Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh.Alexander Mnyeti katika mapokezi ya Mwenge wa Uhuru tarehe 19 Septemba,2018.
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh.Alexander Mnyeti akipokea Mwenge wa Uhuru kutoka Mkoa wa Arusha katika eneo la Minjingu tarehe 19 Septemba,2018.
Mwenge wa Uhuru 2018 katika eneo la Minjingu tarehe 19 Septemba,2018
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh.Alexander Mnyeti akipokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa Mkimbiza Mwenge Kitaifa katika eneo la Minjingu tarehe 19 Septemba,2018.
Mjumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Manyara akipokea Mwenge wa Uhuru tarehe 19 Septemba,2018.

Mkuu wa Wiklaya ya Mbulu akipokea Mwenge wa Uhuru tarehe 19 Septemba,2018.
Mkuu wa Wiklaya ya Simanjiro akipokea Mwenge wa Uhuru tarehe 19 Septemba,2018.
Mkuu wa Wiklaya ya Hanang' akipokea Mwenge wa Uhuru tarehe 19 Septemba,2018.
Mwenyekkiti wa CCM Mkoa wa Manyara akipokea Mwenge wa Uhuru tarehe 19 Septemba,2018.
Mwananchi akipokea Mwenge wa Uhuru tarehe 19 Septemba,2018.
Mwananchi akipokea Mwenge wa Uhuru tarehe 19 Septemba,2018.
Mwenyekkiti wa UVCCM Mkoa wa Manyara akipokea Mwenge wa Uhuru tarehe 19 Septemba,2018.
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Manyara Mh.Ester Mahawe akipokea Mwenge wa Uhuru tarehe 19 Septemba,2018.
Mbunge wa Babati Vijijini akipokea Mwenge wa Uhuru tarehe 19 Septemba,2018.
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang akipokea Mwenge wa Uhuru tarehe 19 Septemba,2018.
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto akipokea Mwenge wa Uhuru tarehe 19 Septemba,2018.
Mwananchi akipokea Mwenge wa Uhuru tarehe 19 Septemba,2018.
Mwananchi akipokea Mwenge wa Uhuru tarehe 19 Septemba,2018.
Mwananchi akipokea Mwenge wa Uhuru tarehe 19 Septemba,2018.
Katibu wa UVCCM Mkoa wa Manyara akipokea Mwenge wa Uhuru tarehe 19 Septemba,2018.
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati akipokea Mwenge wa Uhuru tarehe 19 Septemba,2018.
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Babati akipokea Mwenge wa Uhuru tarehe 19 Septemba,2018.
Mwananchi akipokea Mwenge wa Uhuru tarehe 19 Septemba,2018.
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Manyara akipokea Mwenge wa Uhuru tarehe 19 Septemba,2018.
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh.Alexander Mnyeti akisoma taarifa ya Miradi ya Mwenge katika Mkoa wake katika mapokezi ya Mwenge wa Uhuru tarehe 19 Septemba,2018.
Mwenge wa Uhuru 2018 ukiwasili huko Minjingu tarehe 19 Septemba,2018
Mkimbiza Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2018 akisalimiana na Mjumbe wa Kamati ya Ulinzi na usalama Wilaya ya Babati huko Minjingu tarehe 19 Septemba,2018
Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa Bw.Charles Kabeho akisalimia na Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh.Alexander Mnyeti katika mapokezi ya Mwenge wa Uhuru tarehe 19 Septemba,2018.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa Bw.Charles Kabeho akisalimia na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Manyara katika mapokezi ya Mwenge wa Uhuru tarehe 19 Septemba,2018.
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh.Alexander Mnyeti (kushoto) akimkabidhi Mwenge wa Uhuru Mkuu wa Wilaya ya Babati Mh.Elizabeth Kitundu tarehe 19 Septemba,2018 tayari kukimbizwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Babati.
Nyumba ya Mganga huko Simbay wilayani Hanang iliyozinduliwa na Mwenge wa Uhuru 2018.
Jengo la Kituo cha Afya huko Simbay wilayani Hanang.
Kituo cha Afya huko Simbay wilayani Hanang.
Pikipiki kwa ajili ya Waratibu wa Elimu Kata katika Halmashauri ya Mji wa Babati
Club ya Wapinga Rushwa Shule ya Sekondari Bonga katika Halmashauri ya Mji wa Babati iliyozinduliwa wakati wa mbio za Mwenge wa Uhuru Mwaka 2018.
Kiongozi wa Club ya Wapinga Rushwa Shule ya Sekondari Bonga katika Halmashauri ya Mji wa Babati akisoma risala juu ya Historia ya Club hiyo wakati wa mbio za Mwenge wa Uhuru Mwaka 2018.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa Bw.Charles Kabeho (mwenyekofia nyeusi) akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Babati Mh. Elizabeth Kitundu (kushoto kwake),Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Babati Mh.Elizabeth Malley (kulia kwake) na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Babati Bw.Fortunatus Fwema(kulia) wakatika mapokezi ya Mwenge wa Uhuru Septemba,2018 Shule ya Sekondari Bonga.
Kiongozi wa Club ya Wapinga Rushwa Shule ya Sekondari Bonga katika Halmashauri ya Mji wa Babati akimkabidhi risala Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa Bw. Charles Kabeho wakati wa mbio za Mwenge wa Uhuru Mwaka 2018.
Mkuu wa Wilaya ya Babati Mh.Elizabeth Kitundu akiongea kabla ya kumkaribisha Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa 2018 katika Halmashauri ya Mji wa Babati.
Vikosi vya Ulinzi katika Mwenge wa Uhuru 2018 Mkoani Manyara.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa Bw.Charles Kabeho akisoma Ujumbe wa Mwenge huko Matui Wilayani Kiteto Septemba,2018.
Mkimbiza Mwenge Kitaifa akitoa Salamu za Mwenge Shule ya Sekondari Bonga iliyopo katika Halmashauri ya Mji Babati Septemba,2018.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa Bw.Charles Kabeho akisoma Ujumbe wa Mwenge huko Matui Wilayani Kiteto Septemba,2018.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa Bw.Charles Kabeho akisoma Ujumbe wa Mwenge huko Matui Wilayani Kiteto Septemba,2018.
Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Engusero wilayani KIteto akisoma risala kuhusu ujenzi wa Bweni la wavulana shuleni hapo kwa kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Mwaka 2018.
Mkuu wa wilaya ya KIteto akiongea kabla ya kumkaribisha kiongozi wa Mbio za Mwenge huko Engusero Wilayani Kiteto 24 Septemba 2018.
Mkuu wa wilaya ya KIteto akiongea kabla ya kumkaribisha kiongozi wa Mbio za Mwenge huko Engusero Wilayani Kiteto 24 Septemba 2018.
Bweni la wavulana Shule ya Sekondari Engusero lililoznduliwa na Mwenge wa Uhuru 24 Septemba, 2018.
Vikosi vya Ulinzi katika Mwenge wa Uhuru 2018 Mkoani Manyara.
Wananchi na Wanafunzi waliojitokeza katika uzinduzi wa Bweni la wavulana Shule ya Sekondari Engusero lililoznduliwa na Mwenge wa Uhuru 24 Septemba, 2018.

Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa Bw.Charles Kabeho akiwa Nje ya Bweni la Wavulana Shule ya Sekondari Engusero mara baada ya Kulizindua 24 Septemba, 2018.
Bweni la wavulana Shule ya Sekondari Engusero lililoznduliwa na Mwenge wa Uhuru 24 Septemba, 2018.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa Bw.Charles Kabeho akisoma Ujumbe wa Mwenge huko Orkirung'urung'u Wilayani Simanjiro 25 Septemba,2018.

Viongozi wa Wilaya ya Simanjiro wakiwa huko Orkirung'urung'u Wilayani Simanjiro 25 Septemba,2018 wakati wa Mbio za Mwenge wa Uhuru.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa Bw.Charles Kabeho akisoma Ujumbe wa Mwenge huko Orkirung'urung'u Wilayani Simanjiro 25 Septemba,2018.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa Bw.Charles Kabeho akisoma Ujumbe wa Mwenge huko Orkirung'urung'u Wilayani Simanjiro 25 Septemba,2018.
Ujumbe wa Mwenge wa Mwenge wa Uhuru Mwaka 2018 Huko Simanjiro.
Mkimbiza Mwenge Kitaifa akipanda Mti huko Narosoito Wilayani Simanjiro 25 Septemba,2018.

Mradi wa Mazingira huko Narosoito Wilayani Simanjiro ulizinduliwa na Mbio za Mwenge 25 Septemba,2018.
Mwakilishi wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara akiwa na Vijana wa Scout katika Picha ya pamoja huko Narosoito Wilayani Simanjiro 25 Septemba,2018.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa Bw.Charles Kabeho akisoma Ujumbe wa Mwenge huko Narosoito Wilayani Simanjiro 25 Septemba,2018.

Wanafunzi waliojitokeza kusikiliza Ujumbe wa Mwenge wa Uhuru 2018 huko Narosoito Wilayani Simanjiro 25 Septemba,2018.
Mkimbiza Mwenge Kitaifa akipanda Mti huko Narosoito Wilayani Simanjiro 25 Septemba,2018.
Wazazi na Wanafunzi waliojitokeza kusikiliza Ujumbe wa Mwenge wa Uhuru 2018 huko Narosoito Wilayani Simanjiro 25 Septemba,2018.
Viongozi wakisikiliza Ujumbe wa Mwenge wa Uhuru 2018 huko Narosoito Wilayani Simanjiro 25 Septemba,2018.
Mwenge wa Uhuru 2018 huko Narosoito Wilayani Simanjiro 25 Septemba,2018.
Wanafunzi waliojitokeza kusikiliza Ujumbe wa Mwenge wa Uhuru 2018 huko Narosoito Wilayani Simanjiro 25 Septemba,2018.
Wanafunzi waliojitokeza kusikiliza Ujumbe wa Mwenge wa Uhuru 2018 huko Narosoito Wilayani Simanjiro 25 Septemba,2018.
Msoma risala akisoma risala kwa Kiongozi wa mbio za Mwenge katika Mradi wa Maji uliopo Naisinyai wilayani Simanjiro wakati wa mbio za Mwenge wa Uhuru 25 Septemba,2018.
Kiongozi wa mbio za Mwenge Bw.Charles Kabeho (mwenye kofia nyeusi) akiwa na Viongozi wa Wilaya ya Simanjiro katika Mradi wa Maji uliopo Naisinyai wilayani Simanjiro wakati wa mbio za Mwenge wa Uhuru 25 Septemba,2018.
Wananchi wa Simanjiro waliojitokeza katika Mradi wa Maji uliopo Naisinyai wilayani Simanjiro wakati wa mbio za Mwenge wa Uhuru 25 Septemba,2018.

Kiongozi wa mbio za Mwenge Bw.Charles Kabeho akiongea na wananchi katika Mradi wa Maji uliopo Naisinyai wilayani Simanjiro wakati wa mbio za Mwenge wa Uhuru 25 Septemba,2018.
Mradi wa Maji Naisinyai Simanjiro
Kiongozi wa mbio za Mwenge Bw.Charles Kabeho akiwa Wilayani Simanjiro katika Mradi wa Maji uliopo Naisinyai wilayani Simanjiro wakati wa mbio za Mwenge wa Uhuru 25 Septemba,2018.
Kiongozi wa mbio za Mwenge Bw.Charles Kabeho akimtwisha Mama Ndoo ya Maji katika Mradi wa Maji uliopo Naisinyai wilayani Simanjiro wakati wa mbio za Mwenge wa Uhuru 25 Septemba,2018.
Shida ya Maji Naisinyai Wilayani Simanjiro imekwisha
Mwenge wa Uhuru ukiondoka Naisinyai kuelekea Mirerani wilayani Simanjiro 25 Septemba,2018.
Ulinzi katika Mwenge wa Uhuru Wilayani Simanjiro 25 Septemba,2018.
Ulinzi katika Mwenge wa Uhuru Wilayani Simanjiro 25 Septemba,2018.
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh.Alexander Mnyeti akisoma taarifa ya kuuaga Mwenge katika Mkoa wake katika makabidhiano ya Mwenge wa Uhuru Mkoani Kilimanjaro tarehe 26 Septemba,2018.
Mkimbiza Mwenge Kitaifa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kilinjaro Mh. Anna Mghwira mara baada ya kumaliza kukimbiza Mwenge Mkoani Manyara 26 Septemba,2018.
Mkuu wa Mkoa wa Kilinjaro Mh. Anna Mghwira (mwenye miwani) akiwa na viongozi wa Mkoa wa Mkoa wa Kilimanjaro katika makabidhiano ya Mwenge wa Uhuru kutoka Mkoani Manyara 26 Septemba,2018.
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh. Alexander Mnyeti akiwa na viongozi wa Mkoa wa Mkoa wa Manyara katika makabidhiano ya Mwenge wa Uhuru kwenda Mkoani Kilimanjaro 26 Septemba,2018.
Kiongozi wa mbio za Mwenge Bw.Charles Kabeho akiwaaga viongozi wa Mkoa wa Manyara mara baada ya kukimbiza Mwenge Mkoani Manyara kwa siku saba na Mwenge wa Uhuru kuelekea Mkoani Kilimanjaro 26 Septemba,2018.
Kiongozi wa mbio za Mwenge Bw.Charles Kabeho akiagana na Katibu Tawala Mkoa wa Manyara Bw.Missaile R. Musa Mkoani Kilimanjaro 26 Septemba,2018.
Kiongozi wa mbio za Mwenge Bw.Charles Kabeho akiagana na Katibu Tawala Mkoa wa Manyara Bw.Missaile R. Musa Mkoani Kilimanjaro 26 Septemba,2018.
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh. Alexander Mnyeti akiwa na viongozi wa Mkoa wa Mkoa wa Manyara katika makabidhiano ya Mwenge wa Uhuru kwenda Mkoani Kilimanjaro 26 Septemba,2018.
Kutoka kushoto ni Mkuu wa Wilaya Kiteto Mh.Tumaini Magesa,Mkuu wa Wilaya ya Hanang Mh.Joseph Mkirikiti,Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro Mh.Zephania Chaula,Mkuu wa Wilaya ya Babati Mh.Elizabeth Kitundu na Mkuu wa Wilaya ya Mbulu Mh.Chelestino Mofuga wakiwa katika kuukabidhi Mwenge wa Uhuru Mkoani Kilimanjaro 26 Septemba 2018.
Kiongozi wa mbio za Mwenge Bw.Charles Kabeho akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro mara baada ya kumaliza kukimbiza Mwenge Manyara na kuukabidhi Mkoani Kilimanjaro 26 Septemba,2018.
Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.