Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh.Alexander Mnyeti (kulia) akimkaribisha Ofisini kwake Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso ili kuanza ziara ya kikazi ya kukagua miradi ya Maji Mkoani Manyara 22 Oktoba,2018.
Mkuu wa Wilaya ya Babati Mh. Elizabeth Kitundu (kulia) akimtembeza Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso kukagua miradi ya Maji Kata ya Bonga Wilaya ya Babati 22 Oktoba,2018.
Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso (aliyesimama) akiongea na baadhi ya wafanyakazi katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Babati kabla ya kuanza kukagua Miradi ya Maji Wilayani Babati 22 Oktoba,2018.
Mkuu wa Wilaya ya Babati Mh. Elizabeth Kitundu (mbele) akimtembeza Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso kukagua miradi ya Maji Kata ya Bonga Wilaya ya Babati 22 Oktoba,2018.
Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Babati kabla ya kuanza kukagua Miradi ya Maji Wilayani Babati 22 Oktoba,2018.
Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso (wa pili kulia) akikagua Mradi wa Maji katika Kijiji cha Haraa Kata ya Bonga Wilayani Babati 22 Oktoba,2018.
Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso akikagua Mradi wa Maji katika Kijiji cha Samatsi Wilayani Babati 22 Oktoba,2018.
Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso (kushoto) akikagua Mradi wa Maji katika Kijiji cha Samatsi Wilayani Babati 22 Oktoba,2018.
Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso (kulia) akiongea na wananchi katika Kijiji cha Samatsi wakati wa kukagua miradi ya maji Wilayani Babati 22 Oktoba,2018.
Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso akielekea kwenye chanzo cha Maji katika Kijiji cha Samatsi Wilayani Babati 22 Oktoba,2018.
Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso akiongea na Binti aliyekutwa akichota maji mferejini huko Kijiji cha Samatsi Wilayani Babati 22 Oktoba,2018.
Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso (wa pili kulia) akiongea na wananchi wakati akikagua Mradi wa Maji katika Kijiji cha Samatsi Wilayani Babati 22 Oktoba,2018.
Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso akimtwisha Binti ndoo ya maji huko Kijiji cha Samatsi Wilayani Babati 22 Oktoba,2018.
Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso akiangalia jinsi wananchi wanavyopata tabu kufuta maji katika Kijiji cha Samatsi Wilayani Babati 22 Oktoba,2018.
Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso (mwenye shati jeupe)akikagua chanzo cha maji huko ziwa Manyara Wilayani Babati 22 Oktoba,2018.
Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso (katikati) akiongea na wananchi wa Minjingu wakati wa kukagua miradi ya maji Wilayani Babati 22 Oktoba,2018.
Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso (mwenye shati jeupe) akiongea na wananchi wa Minjingu wakati wa kukagua miradi ya maji Wilayani Babati 22 Oktoba,2018.
Katibu Tawala Mkoa wa Manyara Bw. Missaile Musa (aliyesimama) akitoa maelezo kwa Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso ( wa pili kulia) wakati wa ziara ya kukagua Miradi ya Maji Mkoani Manyara 22 Oktoba,2018.
Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso akisaini kitabu cha wageni mara alipowasili katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa kwa ajili ya ziara ya kukagu miradi ya maji Mkoani Manyara 22 Oktoba,2018.
Mbunge wa Babati Vijijini Mh. Jitu Soni (kulia) akitoa maelezo kwa Naibu Waziri wa Maji alipotembelea katika chanzo cha Maji Mtaa wa Dawar Kata ya Bonga 22 Oktoba,2018.
Mbunge wa Babati Vijijini Mh. Jitu Soni (kushoto) akitoa maelezo kwa Naibu Waziri wa Maji alipotembelea katika chanzo cha Maji Kijiji cha Haraa Kata ya Bonga 22 Oktoba,2018.
Mbunge wa Babati Vijijini Mh. Jitu Soni (kulia) akitoa maelezo kwa Naibu Waziri wa Maji alipotembelea katika chanzo cha Maji Kijiji cha Samatsi 22 Oktoba,2018.
Mbunge wa Babati Vijijini Mh. Jitu Soni (kulia) akitoa maelezo kwa Naibu Waziri wa Maji alipotembelea katika chanzo cha Maji Kijiji cha Samatsi 22 Oktoba,2018.
Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso akiangalia jinsi wananchi wanavyopata shida ya maji na kuahidi kuzitatua kero hizo huko Kijiji cha Samatsi Wilayani Babati 22 Oktoba,2018.
Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso akimtwisha Mtoto ndoo ya maji huko Kijiji cha Samatsi Wilayani Babati 22 Oktoba,2018.
Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso alikutana na ajali ya gari la Wakala wa Vipimo waliopata ajali Kijiji cha Halla Kata ya Nangara na alitoa msaada wakati akiwa katika ziara ya kukagua miradi ya maji Wilayani Babati 22 Oktoba,2018.

Gari la Wakala wa Vipimo lililopata ajali Kijiji cha Halla Kata ya Nangara Wilayani Babati 22 Oktoba,2018.
Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso (mwenye shati jeupe)akikagua chanzo cha maji huko ziwa Manyara Wilayani Babati 22 Oktoba,2018.
Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso (mwenye shati jeupe)akikagua chanzo cha maji huko ziwa Manyara Wilayani Babati 22 Oktoba,2018.
Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso (mwenye shati jeupe) akiongea na wananchi katika chanzo cha maji huko ziwa Manyara Wilayani Babati 22 Oktoba,2018.
Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso akiongea na wafanyakazi katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Hanang alipofanya ziara ya kukagua miradi ya maji Wilyani humo 23 Oktoba,2018.
Mhandisi wa Maji kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Manyara Bw.Sande C.Batakanwa akisoma ripoti ya maji kwa wilaya ya Hanang kwa Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso 23 Oktoba,2018.

Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Mbulu kabla ya kuanza kukagua Miradi ya Maji Wilayani Mbulu 24 Oktoba,2018.
Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso akiongea na wafanyakazi katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Hanang alipofanya ziara ya kukagua miradi ya maji Wilyani humo 23 Oktoba,2018.
Mkuu wa Wilaya ya Mbulu Mh. Chelestino Mufuga akisoma ripoti kwa Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso kabla ya kuanza kukagua Miradi ya Maji Wilayani Mbulu 24 Oktoba,2018.
Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso (kulia) akipata maelezo ya Mradi wa Maji kutoka kwa Mhandisi wa Maji Wilaya ya Mbulu 24 Oktoba,2018.
Mkuu wa Wilaya ya Mbulu Mh. Chelestino Mufuga akiongea na Wananchi wa Dongobesh-Mbulu katika mkutano wa hadhara kabla ya kumkaribisha Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso kuhutubia 24 Oktoba,2018.
Mkuu wa Wilaya ya Mbulu Mh. Chelestino Mufuga akitoa maelezo kwa Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso Wilayani Mbulu 24 Oktoba,2018.
Baadhi ya wataalam wakiwa katika Mkutano wa hadhara wa Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso huko Dongobesh Wilayani Mbulu 24 Oktoba,2018.
Baadhi ya wataalam wakiwa katika Mkutano wa hadhara wa Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso huko Dongobesh Wilayani Mbulu 24 Oktoba,2018.
Mbunge wa Mbulu Vijijini Mh. Flatei Massay akiongea katika mkutano hadhara wakati wa ziara ya Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso huko Dongobesh Wilayani Mbulu 24 Oktoba,2018.
Wananchi wakiwa katika Mkutano wa hadhara wa Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso huko Dongobesh Wilayani Mbulu 24 Oktoba,2018.
Mbunge wa Mbulu Vijijini Mh. Flatei Massay (kulia) akiongea katika mkutano hadhara wakati wa ziara ya Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso (kushoto) huko Dongobesh Wilayani Mbulu 24 Oktoba,2018.
Mbunge wa Mbulu Vijijini Mh. Flatei Massay (kushoto) akiongea katika mkutano hadhara wakati wa ziara ya Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso (kulia) huko Dongobesh Wilayani Mbulu 24 Oktoba,2018.
Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso akiongea na wananchi katika mkutano hadhara wakati wa ziara ya kukagua miradi ya maji huko Dongobesh Wilayani Mbulu 24 Oktoba,2018.
Wananchi wakiwa katika Mkutano wa hadhara wa Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso huko Dongobesh Wilayani Mbulu 24 Oktoba,2018.
Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso akiongea na wananchi katika mkutano hadhara wakati wa ziara ya kukagua miradi ya maji huko Dongobesh Wilayani Mbulu 24 Oktoba,2018.
Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso akiongea na wananchi katika mkutano hadhara wakati wa ziara ya kukagua miradi ya maji huko Dongobesh Wilayani Mbulu 24 Oktoba,2018.
Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso akikagua mradi wa Maji huko Hydom Wilayani Mbulu 24 Oktoba,2018.

Wananchi wakiwa katika Mkutano wa hadhara wa Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso huko Hydom Wilayani Mbulu 24 Oktoba,2018.
Mkuu wa Wilaya ya Mbulu Mh. Chelestino Mufuga akiongea na Wananchi wa Hydom-Mbulu katika mkutano wa hadhara kabla ya kumkaribisha Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso kuhutubia 24 Oktoba,2018.
Mbunge wa Mbulu Vijijini Mh. Flatei Massay akiongea katika mkutano hadhara wakati wa ziara ya Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso huko Hydom Wilayani Mbulu 24 Oktoba,2018.
Kutoaka kulia Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mbulu Bw.Hudson Kamoga wakiwa katika Mkutano wa hadhara huko Hydom Wilayani Mbulu 24 Oktoba,2018.
Baadhi ya wataalam wakiwa katika Mkutano wa hadhara wa Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso huko Hydom Wilayani Mbulu 24 Oktoba,2018.
Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso akiwa katika picha ya pamoja na wananchi na baadhi ya wafanyakazi wakati wa ziara ya kukagua miradi ya maji huko Hydom Wilayani Mbulu 24 Oktoba,2018.
Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso akisaini kitabu cha wageni mara alipowasili katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Mbulu kwa ajili ya ziara ya kukagu miradi ya maji Wilayani Mbulu 25 Oktoba,2018.
Mkuu wa Wilaya ya Mbulu Mh. Chelestino Mufuga akimkaribisha Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso kabla ya kuanza kukagua Miradi ya Maji Halmashauri ya Mji Mbulu 25 Oktoba,2018.
Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso (kulia) akipata maelezo ya Mradi wa Maji kutoka kwa Mhandisi wa Maji Mbulu Mji 25 Oktoba,2018.
Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso akiwa katika picha ya pamoja na wananchi na baadhi ya wafanyakazi wakati wa ziara ya kukagua miradi ya maji huko Bargish Mbulu Mji 25 Oktoba,2018.
Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso akiwa Radio Habari Njema wakati wa ziara ya kukagua miradi ya maji Wilayani Mbulu 25 Oktoba,2018.
Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso akiwa katika picha ya pamoja na watangazaji wa Radio Habari Njema na baadhi ya wafanyakazi wakati wa ziara ya kukagua miradi ya maji Mbulu Mji 25 Oktoba,2018.
Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso akiongea na wafanyakazi kutoka ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Simanjioro alipofanya ziara ya kukagua miradi ya maji Wilyani humo 26 Oktoba,2018.
Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso akiwa huko Orbili Wilaya ya Simanjioro alipofanya ziara ya kukagua miradi ya maji 26 Oktoba,2018.
Diwani wa Kata ya Orbili Wilaya Simanjiro akiongea kwa niaba ya wananchi wakati wa ziara ya Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso alipofanya ziara ya kukagua miradi ya maji 26 Oktoba,2018.
Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso akiongea na wananchi wa Kata ya Orbili wakati akikagua Mradi wa Maji katika Kata ya Orbili Wilayani Simanjiro 26 Oktoba,2018.
Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso akikagua mradi wa Maji huko Olchoronyori Wilayani Simanjiro 26 Oktoba,2018.
Pamoja na Mvua kubwa iliyonyesha Kazi ya Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso kukagua mradi wa Maji huko Olchoronyori Wilayani Simanjiro iliendelea 26 Oktoba,2018.
Kazi ya kukagua mradi wa Maji huko Olchoronyori Wilayani Simanjiro 26 Oktoba,2018 haikuwa nyepesi.
Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso akiongea na wananchi wa Kata ya Olchoronyori wakati akikagua Mradi wa Maji katika Kata ya Orbili Wilayani Simanjiro 26 Oktoba,2018.
Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso akiwa katika picha ya pamoja na wananchi na baadhi ya wafanyakazi wakati wa ziara ya kukagua miradi ya maji huko Olchoronyori wilaya ya Simanjiro 26 Oktoba,2018.

Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso akiongea na wananchi wakati wa ziara ya kukagua miradi ya maji huko Olchoronyori wilaya ya Simanjiro 26 Oktoba,2018.
Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso akiwa katika picha ya pamoja na wananchi na baadhi ya wafanyakazi wakati wa ziara ya kukagua miradi ya maji huko Olchoronyori wilaya ya Simanjiro 26 Oktoba,2018.
Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso akiwa katika picha ya pamoja na wananchi na baadhi ya wafanyakazi wakati wa ziara ya kukagua miradi ya maji huko Olchoronyori wilaya ya Simanjiro 26 Oktoba,2018.
Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso akiwa katika picha ya pamoja na wananchi na baadhi ya wafanyakazi wakati wa ziara ya kukagua miradi ya maji huko Olchoronyori wilaya ya Simanjiro 26 Oktoba,2018.
Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso akisalimiana na wananchi wakati wa ziara ya kukagua miradi ya maji huko Olchoronyori wilaya ya Simanjiro 26 Oktoba,2018.
Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso akisalimiana na watoto wakati wa ziara ya kukagua miradi ya maji huko Olchoronyori wilaya ya Simanjiro 26 Oktoba,2018.
Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso akisalimiana na watoto wakati wa ziara ya kukagua miradi ya maji huko Olchoronyori wilaya ya Simanjiro 26 Oktoba,2018.
Baadhi ya wataalam wakiwa katika Mkutano wa Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso huko Wilayani Hanang 23 Oktoba,2018.

Mbunge wa Hanang Mh. Mary Nagu akiongea katika mkutano hadhara wakati wa ziara ya Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso 23 Oktoba,2018.
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Hanang akiongea katika mkutano hadhara wakati wa ziara ya Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso 23 Oktoba,2018.
Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso akiangalia jinsi wananchi wanavyopata tabu ya maji huko Waranga, Wilayani Hanang wakati wa ziara yake ya kikazi 23 Oktoba,2018.
Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso akiangalia jinsi wananchi wanavyopata tabu ya maji huko Waranga, Wilayani Hanang wakati wa ziara yake ya kikazi 23 Oktoba,2018.
Mbunge wa Hanang Mh. Mary Nagu akiongea katika mkutano hadhara wakati wa ziara ya Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso 23 Oktoba,2018.
Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso akiangalia mradi wa Maji Katesh Wilayani Hanang wakati wa ziara yake ya kikazi 23 Oktoba,2018.

Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso akikata utepe kuweka jiwe la msingi la mradi wa Maji Katesh Wilayani Hanang wakati wa ziara yake ya kikazi 23 Oktoba,2018.
Naibu Waziri wa Maji Mh.Jumaa Hamidu Aweso akiweka jiwe la msingi la mradi wa Maji Katesh Wilayani Hanang wakati wa ziara yake ya kikazi 23 Oktoba,2018.
jiwe la msingi la mradi wa Maji Katesh Wilayani Hanang wakati wa ziara yake ya kikazi 23 Oktoba,2018.
Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.