Msafara wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan ukiingia huko Endagaw wilaya ya Hanang kwa ajili ya kukagua ghala la kuhifadhia mazao 18 Novemba,2018.
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh.Alexander Mnyeti akiongea kabla ya kumkaribisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan alipotembelea ghala la kuhifadhia mazao huko Endagaw 18 Novemba,2018.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan akiongea na wananchi wa Endagaw alipotembelea ghala la kuhifadhia mazao 18 Novemba,2018.

Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Nangwa wakimkaribisha kwa shangwe Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan alipotembelea shule hiyo 18 Novemba,2018.

Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Nangwa wakiwa nje ya bweni la wanafunzi lililozinduliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan alipotembelea shule hiyo 18 Novemba,2018.
Baadhi ya Wabunge wa Mkoa wa Manyara walihudhuria uzinduzi wa bweni la wasichana katika Shule ya Sekondari Nangwa lililozinduliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan alipotembelea shuleni hapo 18 Novemba,2018.
Mbunge wa Babati Mjini Mh.Pauline Gekul (kushoto) akiwa na Mjumbe wa UWT Taifa Bi Zainab Zuberi wakiwa katika uzinduzi wa bweni la wasichana katika Shule ya Sekondari Nangwa lililozinduliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan alipotembelea shuleni hapo 18 Novemba,2018.

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Manyara Mh. Saimon Lulu akiwa na Mbunge wa Viti maalum CCM Mh. Ester Mahawe walihudhuria uzinduzi wa bweni la wasichana katika Shule ya Sekondari Nangwa lililozinduliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan alipotembelea shuleni hapo 18 Novemba,2018.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan akisalimia na Walimu wa Shule ya Sekondari Nangwa alipotembelea shuleni hapo 18 Novemba,2018.
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Nangwa wakimkaribisha kwa shangwe Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan alipotembelea shule hiyo 18 Novemba,2018.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha wageni alipotembelea shule ya Sekondari Nangwa 8 Novemba,2018.
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Nangwa wakimkaribisha kwa shangwe Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan alipotembelea shule hiyo 18 Novemba,2018.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha wageni alipotembelea shule ya Sekondari Nangwa 18 Novemba,2018.
Mkuu wa Shule ya Sekondari Nangwa akisoma taarifa juu ya ujenzi wa bweni la Wanafunzi kwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan alipotembelea shuleni hapo18 Novemba,2018.
Mkuu wa Shule ya Sekondari Nangwa akisalimiana na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan alipotembelea shuleni hapo18 Novemba,2018.
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh.Alexander Mnyeti akiongea kabla ya kumkaribisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan alipotembelea Shule ya Sekondari Nangwa 18 Novemba,2018.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan akiongea na wanafunzi na wananchi alipotembelea Shule ya Sekondari Nangwa 18 Novemba,2018.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Manyara Mh. Saimon Lulu (kulia) akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh. Alexander Mnyeti katika uzinduzi wa bweni la wasichana katika Shule ya Sekondari Nangwa lililozinduliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan alipotembelea shuleni hapo 18 Novemba,2018.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Manyara Mh. Saimon Lulu (kulia) akiwa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Manyara Bw.Missaile Musa katika uzinduzi wa bweni la wasichana katika Shule ya Sekondari Nangwa lililozinduliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan alipotembelea shuleni hapo 18 Novemba,2018.
Mbunge wa Viti maalum CCM Mh. Ester Mahawe (katikati) akiongea kuchangia harambee iliyoanzishwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan ili kumalizia ujenzi wa bweni katika shule ya Sekondari Nangwa 18 Novemba,2018.
Mbunge wa Hanang Mh.Dkt. Mary Nagu (kulia) akiongea kuchangia harambee iliyoanzishwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan ili kumalizia ujenzi wa bweni katika shule ya Sekondari Nangwa 18 Novemba,2018.

Mbunge wa Babati Mjini Mh.Pauline Gekul (katikati) akiongea kuchangia harambee iliyoanzishwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan ili kumalizia ujenzi wa bweni katika shule ya Sekondari Nangwa 18 Novemba,2018.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Manyara Bw.Missaile Musa(mwenye suti nyeusi) akiongea kuchangia harambee iliyoanzishwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan ili kumalizia ujenzi wa bweni katika shule ya Sekondari Nangwa 18 Novemba,2018.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa bweni katika Shule ya Sekondari Nangwa 18 Novemba,2018.
Jiwe la msingi la ujenzi wa bweni katika Shule ya Sekondari Nangwa lililowekwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan 18 Novemba,2018.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa bweni katika Shule ya Sekondari Nangwa 18 Novemba,2018.
Baadhi ya Wabunge wa Mkoa wa Manyara na wananchi walihudhuria uzinduzi wa Mradiwa Maji huko Basutu uliozinduliwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan 18 Novemba,2018.
Baadhi ya Wabunge wa Mkoa wa Manyara na wananchi walihudhuria uzinduzi wa Mradi wa Maji huko Basutu uliozinduliwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan 18 Novemba,2018.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh. Alexander Mnyeti wakati wa uzinduzi wa maradi wa maji wa Basutu 18 Novemba,2018.
Mhandisi wea Maji Wilaya ya Hanang akisoma taarifa juu ya mradi wa maji wa Basutu kwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan 18 Novemba,2018.
Mhandisi wea Maji Wilaya ya Hanang akisalimiana na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan mara baada ya kusoma taarifa ya mradi wa maji wa Basutu 18 Novemba,2018.
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh.Alexander Mnyeti akiongea kabla ya kumkaribisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan alipotembelea Basutu 18 Novemba,2018.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan akiongea na wananchi alipotembelea Basutu 18 Novemba,2018.
Baadhi ya Wabunge wa Mkoa wa Manyara na wananchi walihudhuria uzinduzi wa Mradi wa Maji huko Basutu uliozinduliwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan 18 Novemba,2018.
Baadhi ya wananchi walihudhuria uzinduzi wa Mradi wa Maji huko Basutu uliozinduliwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan 18 Novemba,2018.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa mradi wa maji wa Basutu 18 Novemba,2018.
Jiwe la msingi la ujenzi wa Mradi wa maji wa Basutu lililowekwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan 18 Novemba,2018.
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh.Alexander Mnyeti akiongea kabla ya kumkaribisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya shule ya Msingi Katesh 18 Novemba,2018.
Mbunge wa Viti Maalum Mh.Martha Umbullah akiongea kabla ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan kuhutubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya shule ya Msingi Katesh 18 Novemba,2018.
Mbunge wa Viti Maalum Mh. Martha Umbullah akiongea kabla ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan kuhutubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya shule ya Msingi Katesh 18 Novemba,2018.
Baadhi ya wananchi waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan uliofanyika katika viwanja vya Shule ya Msingi Katesh 18 Novemba,2018.
Mbunge wa Viti Maalum Mh.Ester Mahawe akiongea kabla ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan kuhutubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya shule ya Msingi Katesh 18 Novemba,2018.

Mbunge wa Babati Mjini Mh. Pauline Gekul akiongea kabla ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan kuhutubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya shule ya Msingi Katesh 18 Novemba,2018.

Mbunge wa Hanang Mh. Dkt. Mary Nagu akiongea kabla ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan kuhutubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya shule ya Msingi Katesh 18 Novemba,2018.

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Manyara Mh. Saimon Lulu akiongea kabla ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan kuhutubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya shule ya Msingi Katesh 18 Novemba,2018.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan kuhutubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya shule ya Msingi Katesh 18 Novemba,2018.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan akiwaaga wananchi waliohudhuria mara baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya shule ya Msingi Katesh 18 Novemba,2018.
Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.