Wajumbe waliohudhuria Kikao cha Kamati ya Maridhiano kilichofanyika Mkoani Manyara Tarehe 4 Octoba,2018.
Katibu wa Kamati ya Maridhiano Mkoa wa Manyara Bw.Josia Sumaye akiongea na wajumbe waliohudhuria kikao hicho Tarehe 4 Octoba,2018.
Wajumbe waliohudhuria Kikao cha Kamati ya Maridhiano kilichofanyika Mkoani Manyara Tarehe 4 Octoba,2018.
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh.Alexander Mnyeti (katikati) akiwa na Katibu wa Kamati ya Maridhiano Tanzania Oswald Herman Mlay (kulia) na Katibu Tawala Mkoa wa Manyara (kushoto) wakiwa katika kikao cha kamati ya Maridhiano Mkoa wa Manyara Tarehe 4 Octoba,2018.
Mjumbe wa Kamati ya Maridhiano Mkoa wa Manyara akiongea katika kikao kilichofanyika katika Ofisio za Mkuu wa Mkoa wa Manyara Tarehe 4 Octoba,2018.
Katibu wa Kamati ya Maridhiano Tanzania Askofu Oswald Herman Mlay (aliyesimama) akiongea na wajumbe waliohudhuria kikao hicho Tarehe 4 Octoba,2018.
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh.Alexander Mnyeti akiongea na wajumbe waliohudhuria kikao cha Kamati ya Maridhiano Mkoa wa Manyara Tarehe 4 Octoba,2018.
Wajumbe waliohudhuria Kikao cha Kamati ya Maridhiano kilichofanyika Mkoani Manyara Tarehe 4 Octoba,2018.
Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.