Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais,Muungano na Mazingira Mh.January Makamba akimsikiliza Mwananchi wa Kijiji cha Himiti Kata ya Bonga akitoa mawazo yake juu ya uhifadhi wa Ziwa Babati katika mkutano wa hadhara Septemba 6,2018.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais,Muungano na Mazingira Mh.January Makamba akimsikiliza Mwenyekiti wa Kijiji cha Himiti Kata ya Bonga akitoa mawazo yake juu ya uhifadhi wa Ziwa Babati katika mkutano wa hadhara Septemba 6,2018.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais,Muungano na Mazingira Mh.January Makamba(kulia) akisaini kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh.Alexander Mnyeti Septemba 6 ,2018.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Manyara Bw.Missaile Musa (aliyesimama) akiwatambulisha viongozi wa Mkoa kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais,Muungano na Mazingira Mh.January Makamba katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Septemba 6,2018.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Manyara Bw.Missaile Musa (aliyesimama) akiwatambulisha wadau wa Mazingira kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais,Muungano na Mazingira Mh.January Makamba katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Septemba 6,2018.
Baadhi ya Wakuu wa Wilaya katika Mkoa wa Manyara wakiwa katika kikao na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais,Muungano na Mazingira Mh.January Makamba katika ukumbi uliopo jengo la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Manyara Septemba 6,2018.
Baadhi ya Wenyeviti wa Halmashauri katika Mkoa wa Manyara wakiwa katika kikao na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais,Muungano na Mazingira Mh.January Makamba katika ukumbi uliopo jengo la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Manyara Septemba 6,2018.
Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Manyara wakiwa katika kikao na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais,Muungano na Mazingira Mh.January Makamba katika ukumbi uliopo jengo la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Manyara Septemba 6,2018.
Baadhi ya Wadau wa Mazingira katika Mkoa wa Manyara wakiwa katika kikao na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais,Muungano na Mazingira Mh.January Makamba katika ukumbi uliopo jengo la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Manyara Septemba 6,2018.

Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh.Alexander Mnyeti akiongea katika kikao cha wadau wa mazingira Mkoani Manyara na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais,Muungano na Mazingira Mh.January Makamba katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Manyara Septemba 6,2018.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais,Muungano na Mazingira Mh.January Makamba akiongea na wafanyakazi kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Manyara alipokuwa katika ziara ya kikazi Septemba 6,2018.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais,Muungano na Mazingira Mh.January Makamba(mwenye miwani), Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh.Alexander Mnyeti (kushoto kwa waziri), Katibu Tawala Mkoa wa Manyara Bw.Missaile Musa (wa pili kulia) na Wakuu wa Wilaya za Mkoa wa Manyara wakiwa katika Picha ya Pamoja Septemba 6 ,2018.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais,Muungano na Mazingira Mh.January Makamba(mwenye miwani), Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh.Alexander Mnyeti (kushoto kwa waziri), Katibu Tawala Mkoa wa Manyara Bw.Missaile Musa (kulia) na Kamati ya Ulinzi na Usala ya Mkoa wa Manyara wakiwa katika Picha ya Pamoja Septemba 6,2018.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais,Muungano na Mazingira Mh.January Makamba(mwenye miwani),Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh.Alexander Mnyeti (kushoto kwa waziri), Katibu Tawala Mkoa wa Manyara Bw.Missaile Musa (kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na waandishi wa Habari Mkoa wa Manyara Septemba 6,2018.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais,Muungano na Mazingira Mh.January Makamba(kushoto), Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh.Alexander Mnyeti (wa pili kuitoka kushoti), Katibu Tawala Mkoa wa Manyara Bw.Missaile Musa (wa pili kulia) wakijadiliana jambo wakati wa ziara ya Mheshimiwa waziri Septemba 6,2018.
Sehemu ya ziwa Babati ambalo ni kivutio kikubwa cha utalii Mkoani Manyara.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Babati Bw.Fortunatus Fwema (wa pili kutoka kusho) akitoa maelezo juu ya uhifadhi wa ziwa Babati kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais,Muungano na Mazingira Mh.January Makamba alipotembelea ziwa hilo Septemba 6,2018.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Babati Bw.Fortunatus Fwema akisoma taarifa juu ya uhifadhi wa ziwa Babati kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais,Muungano na Mazingira Mh.January Makamba alipotembelea ziwa hilo Septemba 6,2018.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Babati Bw.Fortunatus Fwema akifafanua jambo juu ya uhifadhi wa ziwa Babati kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais,Muungano na Mazingira Mh.January Makamba alipotembelea ziwa hilo Septemba 6,2018.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais,Muungano na Mazingira Mh.January Makamba(kushoto),Katibu Tawala Mkoa wa Manyara Bw.Missaile Musa (kulia) na Mkuu wa Wilaya ya Babati Mh.Elizabeth Kitundu wakikagua ziwa Babati Septemba 6,2018.
Katibu wa CCM Babati Mjini akichangia jambo juu ya uhifadhi wa ziwa Babati kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais,Muungano na Mazingira Mh.January Makamba alipotembelea ziwa Babati Septemba 6,2018.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais,Muungano na Mazingira Mh.January Makamba akifafanua jambo juu ya uhifadhi wa ziwa Babati kwa alipotembelea ziwa hilo Septemba 6,2018.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais,Muungano na Mazingira Mh.January Makamba akimsikiliza Mwananchi wa Kijiji cha Himiti Kata ya Bonga akitoa mawazo yake juu ya uhifadhi wa Ziwa Babati Septemba 6,2018.
Viboko ni Sehemu ya utalii uliopo ziwa Babati Mkoani Manyara.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais,Muungano na Mazingira Mh.January Makamba(wa pili kutoka kushoto) akiwa na baadhi ya viongozi kukagua ziwa Babati Septemba 6,2018.
Afisa Utalii wa Halmashauri ya Mji wa Babati Bw.Francis Lazaro (kushoto) akifafanua jambo juu ya uhifadhi wa ziwa Babati kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais,Muungano na Mazingira Mh.January Makamba alipotembelea ziwa hilo Septemba 6,2018.

Diwani wa Kata ya Bonga (kushoto),Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais,Muungano na Mazingira Mh.January Makamba (wa pili kutoka kushoto) na Baadhi ya wanannchi wakikagua Ziwa Babati upende wa Kijiji cha Himiti Septemba 6,2018.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais,Muungano na Mazingira Mh.January Makamba (mwenye miwani) akiwa katika mkutano wa Hadhara Kijiji cha Himiti Kata ya Bonga Septemba 6,2018.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais,Muungano na Mazingira Mh.January Makamba (mwenye miwani) akiwa katika mkutano wa Hadhara Kijiji cha Himiti Kata ya Bonga Septemba 6,2018.
Wananchi wa Kijiji cha Himiti kata ya Bonga wakiwa katika mkutano wa Hadhara wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais,Muungano na Mazingira Mh.January Makamba huko Himiti Septemba 6,2018.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais,Muungano na Mazingira Mh.January Makamba(kushoto),Katibu Tawala Mkoa wa Manyara Bw.Missaile Musa (kulia) na Mkuu wa Wilaya ya Babati Mh.Elizabeth Kitundu (katikati) wakiwa katika mkutano Septemba 6,2018.
Wananchi wa Kijiji cha Himiti kata ya Bonga wakiwa katika mkutano wa Hadhara wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais,Muungano na Mazingira Mh.January Makamba huko Himiti Septemba 6,2018.
Wananchi wa Kijiji cha Himiti kata ya Bonga wakiwa katika mkutano wa Hadhara wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais,Muungano na Mazingira Mh.January Makamba huko Himiti Septemba 6,2018.
Wananchi wa Kijiji cha Himiti kata ya Bonga wakiwa katika mkutano wa Hadhara wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais,Muungano na Mazingira Mh.January Makamba huko Himiti Septemba 6,2018.
Wananchi wa Kijiji cha Himiti kata ya Bonga wakiwa katika mkutano wa Hadhara wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais,Muungano na Mazingira Mh.January Makamba huko Himiti Septemba 6,2018.
Wananchi wa Kijiji cha Himiti kata ya Bonga wakiwa katika mkutano wa Hadhara wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais,Muungano na Mazingira Mh.January Makamba huko Himiti Septemba 6,2018.
Katibu Tawala Mkoa wa Manyara Bw.Missaile Musa (kulia) akiongea jambo kabla ya kumkaribisha Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais,Muungano na Mazingira Mh.January Makamba katika mkutano wa hadhara Septemba 6 ,2018.
Mwenyekiti wa Kijiji cha Himiti (kushoto) akiongea jambo kabla ya kumkaribisha Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais,Muungano na Mazingira Mh.January Makamba katika mkutano wa hadhara Septemba 6,2018.
Mkuu wa Wilaya ya Babati akiongea jambo kabla ya kumkaribisha Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais,Muungano na Mazingira Mh.January Makamba katika mkutano wa hadhara Septemba 6,2018.
Diwani wa Kata ya Bonga Mh.Hiiti Mutlo akiongea kwenye mkutano wa hadhara wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais,Muungano na Mazingira Mh.January Makamba Kijiji cha Himiti Kata ya Bonga Septemba 6,2018.
Wananchi wa Kijiji cha Himiti kata ya Bonga wakiwa katika mkutano wa Hadhara wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais,Muungano na Mazingira Mh.January Makamba huko Himiti Septemba 6,2018.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais,Muungano na Mazingira Mh.January Makamba akimsikiliza Mwananchi wa Kijiji cha Himiti Kata ya Bonga akitoa mawazo yake juu ya uhifadhi wa Ziwa Babati katika mkutano wa hadhara Septemba 6,2018.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais,Muungano na Mazingira Mh.January Makamba akiwa katika mkutano wa hadhara huko Himiti Kata ya Bonga kuzungumzia juu ya uhifadhi wa ziwa Babati Septemba 6,2018.
Wananchi wa Kijiji cha Himiti kata ya Bonga wakiwa katika mkutano wa Hadhara wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais,Muungano na Mazingira Mh.January Makamba huko Himiti Septemba 6,2018.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais,Muungano na Mazingira Mh.January Makamba akimsikiliza Mwananchi wa Kijiji cha Himiti Kata ya Bonga akitoa mawazo yake juu ya uhifadhi wa Ziwa Babati katika mkutano wa hadhara Septemba 6,2018.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais,Muungano na Mazingira Mh.January Makamba akimsikiliza Mwananchi wa Kijiji cha Himiti Kata ya Bonga akitoa mawazo yake juu ya uhifadhi wa Ziwa Babati katika mkutano wa hadhara Septemba 6,2018.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais,Muungano na Mazingira Mh.January Makamba akifurahi jambo na Mwananchi wa Kijiji cha Himiti Kata ya Bonga katika mkutano wa hadhara Septemba 6,2018.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais,Muungano na Mazingira Mh.January Makamba akimsikiliza Mwananchi wa Kijiji cha Himiti Kata ya Bonga akitoa mawazo yake juu ya uhifadhi wa Ziwa Babati katika mkutano wa hadhara Septemba 6,2018.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais,Muungano na Mazingira Mh.January Makamba akimsikiliza Mwananchi wa Kijiji cha Himiti Kata ya Bonga akitoa mawazo yake juu ya uhifadhi wa Ziwa Babati katika mkutano wa hadhara Septemba 6,2018.
Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.