Wadau wa Afya Mkoani Manyara wamekutana Wilayani Hanang Mkoani Manyara na kujadili mambo mbalimbali yanayohusu Afya Mkoani humo na kubuni mbinu za kuzitatua.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi MHE. WILLIAM LUKUVI wilayani Babati mkoani Manyara alipokuwa akizindua rasmi mpango wa utekelezaji wa matumizi bora ya ardhi ya vijiji vinavyopakana na hifadhi za taifa.Waziri Lukuvi ameongeza kuwa Wizara yake imeleta Vifaa vya kisasa vya upimaji wa Ardhi ambavyo vitatumika katika kupima na kutatua migogoro hiyoMpango huu unatekelezwa kwa ushirikiano na Hifadhi za Taifa Tanzania ambayo ipo chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii na Tume ya Taifa ya Mpango wa Matumizi ya Ardhi ambayo ipo chini ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.akiongea wakati wa uzinduzi huo Naibu Waziri wa Maliasiri na Utalii Mhe. Japhet Hasunga amesema Mpango huu umekusudia kupima vijiji vyote 392 vinavyozungika hifadhi nchi nzima hasa katika mikoa ya Arusha, Manyara na Mara.Aidha aliongeza kuwa pango huu ni Ushirikiano kati ya Wizara hizi mbili na utakuwa ni muarubaini wa kuondoa kabisa migogoro ya ardhi iliyopo kati ya wananchi na hifadhi zinazo wazunguka.
Serikali yaboresha matumizi ya Epicor 10.2 na Planrep
Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.