• Maswali ya Mara kwa Mara (MMM) |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • e-Mrejesho |
Manyara Regional Secretariat
Manyara Regional Secretariat

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Sekretarieti ya Mkoa wa Manyara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Sehemu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Huduma za Elimu
      • Serikali za mitaa
      • Huduma za Afya
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Uhasibu
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Mji wa Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hanang'
    • Halmashuri ya Wilaya ya Mbulu
    • Halmashauri ya Mji Mbulu
    • Halmashauri ya wilaya ya Kiteto
    • Halmasahuri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Madini
    • Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Huduma kwa wateja
    • Huduma kwa wafanyakazi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogondogo
    • Ripoti
    • Mpango Kazi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Picha
    • Hotuba
    • Video
    • Habari

KAMATI ZA RUFAA ZA UCHAGUZI FANYENI KAZI KWA HAKI- WAZIRI TAMISEMI

Imechapishwa Tarehe: November 6th, 2019

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mh.Selemani Jafo amezitaka Kamati za Rufaa za Uchaguzi wa Serikali za kutenda haki kwa wagombea wote watakaowasilisha malalamiko yako kuhusu uteuzi.

Waziri Jafo aliyasema hayo siku ya Jumatano ya tarehe 6/11/2019 wakati akizungumza na Kamati za Rufaa pamoja na viongozi wa Mkoa wa Manyara katika ziara yake Mkoani humo kuangalia maandalizi ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

Amesema tunataka haya malalamiko yanayoendelea huko nje hivi sasa yaishe na kuisha kwake ni nyinyi wajumbe wa Kamati hizi  kufanya kazi zenu kwa umakini na uadilifu mkubwa ili kuhakikisha haki inatendeka. ” Tunategemea sana Kamati hizi za Rufaa zilizoundwa katika kila Wilaya Nchini kote katika kutenda haki na kuweka mambo yote sawa ili kila mtu awe na amani na tukamilishe zoezi la uchaguzi wa Serikali za Mitaa salama” Alisema Jafo.

Aliongeza kuwa katika mchakato huu msimuonee aibu yoyote na wala msimpendelee mtu, katendeni haki kwa watu watakaoleta malalamiko yao kwenu ili kila mtu afurahie uchaguzi wa Serikali za Mitaa na ukamilike kwa amani.

Ndio maana mmechaguliwa kutoka Taasisi za Umma mbalimbali na hamkutoka katika ofisi moja kila mmoja wenu katoka kwenye Taasisi yake,hii itasaidia kupunguza mgongano wa maslahi kwa kuwa nyinyi hamfanyi kazi katika Serikali za Mitaa. “Pimeni malalamiko kwa weledi wenu na kufuata kanuni, toeni maamuzi stahiki,inawezekana kabisa kamati ya Rufaa ikamrudisha mtu kwenye nafasi yake ambayo alieguliwa hapo awali mkiona anastahili kwa mujibu wa vielelezo alivyowasilisha mrejesheni,hiyo ndio kazi yenu kubwa katika kamati hizi” Alisistiza Jafo.

Waziri Jafo aliongeza kwa wanaogombea wote amabao wanaona kuna baadhi ya vitu havikwenda sawa huu ndio wakati sasa wa kuwasilisha vielelezo vyao kwa Kamati ya Rufaa ili viweze kuhakikiwa na kufanyiwa maamuzi ya busara yanayofuata utaratibu,sheria na maelekezo ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni uchaguzi wa wananchi, ni vyema michakato yote ikafanyika kwa haki kwenye ngazi zote haswa hii ya kugombea nafasi za uongozi haki inatakiwa kuonekana imetendeka hivyo Kamati za Rufaa nawaelekeza fanyani kazi.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - BABATI MJI June 29, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI - BABATI MJI June 17, 2022
  • NAFASI ZA KAZI - HALMASHAURI YA MJI WA BABATI May 24, 2022
  • Kanuni za Utoaji na Usimamizi wa Mikopo Kwa Vikundi vya Wanawake, Vijana Na Watu Wenye Ulemavu May 17, 2019
  • Tazama Zote

Habari mpya

  • KIKAO CHA 39 CHA RCC MKOA WA MANYARA

    February 20, 2025
  • KIKAO CHA BODI YA BARABARA MKOA WA MANYARA

    February 19, 2025
  • RC SENDIGA AZINDUA KLINIKI YA MADAKTARI BINGWA MKOANI MANYARA

    November 20, 2024
  • TIMU YA USIMAMIZI WA AFYA MKOA WA MANYARA WAJENGEWA UWEZO KUKABILIANA NA DHARURA ZA KIAFYA NA MAJANGA

    November 14, 2024
  • Tazama Zote

Video

Vuta Pumzi, Funguka, Ongea na Mkuu wa Mkoa
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Miongozo ya OR-TAMISEMI
  • Kanuni za Uchaguzi
  • Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi
  • Mwongozo wa OPRAS
  • Maadili
  • Fomu za Opras
  • Fomu ya Ugonjwa

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • wizara ya Fedha
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Siri
    • Kanusho
    • Ramani Elekezi

Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.