• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara (MMM) |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Manyara Regional Secretariat

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Sekretarieti ya Mkoa wa Manyara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Sehemu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Huduma za Elimu
      • Serikali za mitaa
      • Huduma za Afya
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Uhasibu
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Mji wa Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hanang'
    • Halmashuri ya Wilaya ya Mbulu
    • Halmashauri ya Mji Mbulu
    • Halmashauri ya wilaya ya Kiteto
    • Halmasahuri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Kilimo
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Huduma kwa wateja
    • Huduma kwa wafanyakazi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogondogo
    • Ripoti
    • Mpango Kazi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Fomu za Kujiunga na Bangdalalu Sekondari
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Video
    • Habari
  • Blog

Katibu Tawala Manyara asaini mkataba wa baraza la wafanyakazi

Imechapishwa Tarehe: February 26th, 2020

Katibu Tawala wa Mkoa wa Manyara Bw.Missaile Musa leo Jumatano tarehe 26 Februari, 2020  ametiliana saini mkataba wa Baraza la wafanyakazi na Mwenyekiti wa Baraza hilo Tawi la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Manyara Mhandisi Norbert  Kyomushola.

Mkataba huo upo kama na agizo la Mheshimiwa Rais Na.1 la mwaka 1970 pamoja na sheria ya Majadiliano ya pamoja katika utumishi wa Umma Na 19 ya mwaka 2003 na kanuni zake,sheria ya ajira na mahusiano kazini Na 6 ya mwaka 2004 na kanuni zake, Sheria ya Taasisi za Kazi Na. 7 ya Mwaka 2004, pamoja na Majadiliano   ya   Utumishi  wa  Umma   ya   mwaka   2003 (Public   Service   Negotiating   Machinery   Act ), makubaliano    hayo   ni   Mkataba  kamili  wa    ushirikishwaji   wa  wafanyakazi wa Sekretarieti ya Mkoa.

 Akielezea Madhumuni ya Mkataba hu Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi wa Tawi hilo Mhandisi Norbert Kyomushola alisema kuwa “Kama  Taasisi ya Umma Sekretarieti ya Mkoa wa Manyara ni lazima iwe na Baraza la Wafanyakazi katika kuendesha shughuli zake ili kuwezesha kuimarisha mahusianao mazuri kati ya wafanyakazi na Sekretarieti na hivyo kuboresha utekelezaji wa mipango ya Sekretarieti”.

Mabaraza ya wafanyakazi yanaundwa kwa kufuata masharti haya mbalimbali ikiwemo Kutengeneza Mkataba wa Miundo ya Vikao na Kanuni za Baraza, kuandaa Mafunzo mbalimbaili pamoja na ya haki na wajibu wa  Wafanyakazi yatabidi yatolewe na Viongozi wa TUGHE kwa kushirikiana na Ofisi ya Waziri Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana Ajira na Watu wenye ulemavu,Kugharamia kutengeneza  Mkataba na kuendesha Mafunzo hayo kwa Wafanyakazi na Wakufunzi ni juu ya Sekretarieti yenyewe pia uchaguzi halali wa wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi   unatakiwa usimamiwe na Wizara ya Kazi na Ajira, Tume ya Ususruhishi na Uamuzi kitengo cha Elimu kazi kwa kushirikiana na viongozi wa TUGHE Mkoa.

Ili uundaji wa Baraza la Wafanyakazi na utekelezaji wa Mkataba uwe unatakiwa kukamilika si zaidi ya muda wa siku thelathini (30) toka Mkataba uliposajiliwa Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana Ajira na Watu wenye ulemavu Makao  Makuu.

(Kwa picha mbalimbali angalia sehemu ya  Kituo cha Habari kisha nenda Maktaba ya Picha)

Matangazo

  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2021 MKOA WA MANYARA December 18, 2020
  • MAJINA YA WASIMAMIZI WA UCHAGUZI JIMBO LA BABATI MJINI October 21, 2020
  • MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2018 MKOA WA MANYARA December 27, 2017
  • OR-TAMISEMI YATANGAZA AJIRA MPYA ZA WALIMU WA MSINGI NA SEKONDARI JULAI 2018 July 17, 2018
  • Tazama Zote

Habari mpya

  • RC Manyara amaliza Mgogoro wa ardhi baina ya mwekezaji na wananchi

    September 01, 2021
  • Mkirikiti amkabidhi Makongoro Ofisi rasmi

    May 25, 2021
  • Karibu Manyara Mhe. Makongoro Nyerere!!!

    May 22, 2021
  • Tuweke uzalendo ktk kusajili watoto chini ya miaka mitano - RC Manyara

    April 20, 2021
  • Tazama Zote

Video

Asilimia mbili ya mikopo kwa walemavu
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Miongozo ya OR-TAMISEMI
  • Kanuni za Uchaguzi
  • Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi
  • Mwongozo wa OPRAS
  • Maadili
  • Fomu za Opras
  • Fomu ya Ugonjwa

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • wizara ya Fedha
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

    Barabara ya Babati - Singida

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 310

    Simu ya mezani: 027-2510066

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: rasmanyara.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Siri
    • Kanusho
    • Ramani Elekezi

Copyright ©2021 Manyara Region . All rights reserved.