• Maswali ya Mara kwa Mara (MMM) |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • e-Mrejesho |
Manyara Regional Secretariat
Manyara Regional Secretariat

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Sekretarieti ya Mkoa wa Manyara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Sehemu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Huduma za Elimu
      • Serikali za mitaa
      • Huduma za Afya
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Uhasibu
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Mji wa Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hanang'
    • Halmashuri ya Wilaya ya Mbulu
    • Halmashauri ya Mji Mbulu
    • Halmashauri ya wilaya ya Kiteto
    • Halmasahuri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Madini
    • Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Huduma kwa wateja
    • Huduma kwa wafanyakazi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogondogo
    • Ripoti
    • Mpango Kazi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Picha
    • Hotuba
    • Video
    • Habari

Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Sendiga amefanya Kikao na Viongozo wa Dini na Wazee wa Kimila.

Imechapishwa Tarehe: September 19th, 2023

Mkuu wa  Mkoa  wa Manyara Mhe. Queen  Sendiga  leo Septemba 19, 2023 amefanya kikao na wazee wa  kimila na  viongozi  wa  dini  Mkoa wa Manyara. Kikao hicho kimeongozwa  na  Mkuu wa Mkoa pamoja na  Kaimu Katibu Tawala  Mkoa  Mhe.  Dominic Mbwete   katika Ofisi za Mkuu wa Mkoa ambapo  lengo  la kikao hicho  nikutambua  umuhimu wa wazee na viongozi wa dini.

 Mhe. Queen  Sendiga  ameomba ushirikiano  wakutosha  kutoka kwa wazee hao  wa kimila na viongozi wa  dini, ameongeza  kuwa  ili kutimiza majukumu  ni lazima kuwe  na mahusiano mazuri  na  wazee  wa kimila na viongozi  wa dini aidha amewahakikishia  usalama  wakutosha. 

Pia  ameeleza kuwa  pamoja  na mambo mazuri yanayo enedelea  kufanyika   katika  Mkoa lakini kuna changamoto  ambazo  ni  kukithiri  kwa vifo  vya  boda boda katika Mkoa wa Manyara amewataka wazee hao wa kimila na viongozi  wa dini  kukemea  maovu na  mienendo  mibaya  kwa  vijana.

Vilevile ameeleza  juu ya suala la ukatili wa kijinsia  amewataka  viongozi  wa dini na wa kimila kuisadia  Serikali  kuweza  kuondoa  tatizo hilo au kulipunguza. Akizungumzia  suala hilo pia ametoa  twakwimu fupi  ya kuanzia  Januari hadi Septemba 2023  ambapo  Mkoa umeripoti  kesi  za matukio  ya ukatili  wa kijinsia  takribani 1628.

Amefurahishwa  na  uzalishaji  wa  zao  la ngano kwa  wingi  Wilaya ya Hanang, ameeleza  kuwa  pamoja na kuzalisha chakula kingi lakini bado Mkoa unakabiliwa na tatizo na lishe. Aidha amesisitiza  juu ya kuweka  akiba  ya  chakula  kwa wakulima ili kuepuka tatizo la kutokuwa  na chakula cha kutosha.

Ametoa  msisitizo  katika  suala la maadili  kwa  vijana  huku  akiwataka wazee hao wa kimila  kuweka misingi  ya  malezi bora kwa watoto sambamba na hilo amewata wazee wakimila kutobebwa  na utandawazi  bali waendelee kuziendeleza mila na desturi.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - BABATI MJI June 29, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI - BABATI MJI June 17, 2022
  • NAFASI ZA KAZI - HALMASHAURI YA MJI WA BABATI May 24, 2022
  • Kanuni za Utoaji na Usimamizi wa Mikopo Kwa Vikundi vya Wanawake, Vijana Na Watu Wenye Ulemavu May 17, 2019
  • Tazama Zote

Habari mpya

  • KIKAO CHA 39 CHA RCC MKOA WA MANYARA

    February 20, 2025
  • KIKAO CHA BODI YA BARABARA MKOA WA MANYARA

    February 19, 2025
  • RC SENDIGA AZINDUA KLINIKI YA MADAKTARI BINGWA MKOANI MANYARA

    November 20, 2024
  • TIMU YA USIMAMIZI WA AFYA MKOA WA MANYARA WAJENGEWA UWEZO KUKABILIANA NA DHARURA ZA KIAFYA NA MAJANGA

    November 14, 2024
  • Tazama Zote

Video

Vuta Pumzi, Funguka, Ongea na Mkuu wa Mkoa
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Miongozo ya OR-TAMISEMI
  • Kanuni za Uchaguzi
  • Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi
  • Mwongozo wa OPRAS
  • Maadili
  • Fomu za Opras
  • Fomu ya Ugonjwa

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • wizara ya Fedha
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Siri
    • Kanusho
    • Ramani Elekezi

Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.