• Maswali ya Mara kwa Mara (MMM) |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • e-Mrejesho |
Manyara Regional Secretariat
Manyara Regional Secretariat

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Sekretarieti ya Mkoa wa Manyara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Sehemu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Huduma za Elimu
      • Serikali za mitaa
      • Huduma za Afya
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Uhasibu
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Mji wa Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hanang'
    • Halmashuri ya Wilaya ya Mbulu
    • Halmashauri ya Mji Mbulu
    • Halmashauri ya wilaya ya Kiteto
    • Halmasahuri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Madini
    • Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Huduma kwa wateja
    • Huduma kwa wafanyakazi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogondogo
    • Ripoti
    • Mpango Kazi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Picha
    • Hotuba
    • Video
    • Habari

Mradi wa Utafiti wa Taulo za kike ( SODO)

Imechapishwa Tarehe: August 9th, 2023

Katibu Tawala Mkoa  wa Manyara  Mh Karolina  Mthapula  9/8/ 2023 ameendesha kikao cha mradi wa  utafiti  wa soko la  sodo.

 kikao lichoandaliwa  na  mashirika  mawili yasiyo ya  kiserikali  OIKOS na  Shirika la E-MAC mashirika yanayo  jihusisha na  mradi wa taulo za wanafunzi wa kike. Mradi ambao umefadhiriwa na Benki ya dunia (WORLD BANK), kikao hicho kimefanyika katika  ukumbi namba 83  eneo la ofisi za Mkuu wa Mkoa. 

  Halmashauri mbili  pekee ndizo zimehusishwa katika kikao hicho (Kiteto na Babati),  Halmashauri hizo  zikiwa ndio  Halmashauri za mwanzo  kuweza  kupokea  mradi huo wa utafiti.

  Katika  hotuba yake ya ufunguzi wa kikao hicho  Katibu Tawala  Mkoa wa Manyara  ameshukuru mashirika hayo  OIKOS na E-MAC  pamoja na  wizara  ya  Afya  kwakuleta mradi huwo  wa utafiti  kwakusaidia suala la sodo kwa mabinti wakike mashuleni.

Amewataka  watu kuwapa ushirikiano wakutosha kwa mashirika hayo OIKOS na E-MAC  ushirikiano ambao utaweza  kurahisisha  ufanikishaji wa mradi huo.

 Pia amesisitiza  suala la hedhi  salama ni suala  la kitaifa  ambalo  kila mtu kwenye jamii  kulichukulia katika uzito, ameeleza kuwa  ufanikishaji wa mradi huwo  utakuwa umesaidi Taifa,   ‘’hivyo kuna kila  sababu  ya kushukuru  mashirika  ya OIKOS na E-MAC’’  nukuu ya  maneno ya  Mh  Karolina  Mthapula (katibu Tawala  Mkoa wa Manyara).

Aidha  ameeleza  ukosekanaji wa sodo unaweza  kukatisha ndoto za  mambinti wengi,  Pia ameeleza kuwa  kufanikiwa kwa mradi huo kutasaidia  kuongeza  mahudhurio shuleni kwa mabinti wengi.

  ‘’kuwa na  sodo mashuleni kutasaidia  kupunguza magonjwa  na athari za kiafya’’ Ameweka wazi kuwa ofisi ya  Mkoa   ikotayari kutoa  ushirikiano  wakutosha   kwa mashirika  hayo OIKOS na E-MAC.

Asisitiza  juu ya utolewaji wa elimu kwa watumiaji wa sodo yaani mabinti kwakuwa  mabinti wanatoka katika mazingira  tofauti, kuna watumiaji ambao kimsingi wanatoka  mazingia  ambayo bado  uwelewa uko chini  na wengine  uwelewa wao  ni mpana kuhusu utumiaji  wa sodo.

 kwakuzingatia hilo Katibu Tawala  Mkoa  wa Manyara  ambae ndiye alikuwa mgeni rasimi katika kikao hicho  ameweka  msisitizo kwenye hilo.

Katika  kikao hicho Afisa  Elimu  Mkoa   ameeleza juu ya ukosefu wa sodo na jinsi unavyoweza  kuchangia mahudhurio  mambaya  mashuleni, Nakupelekea baadhi ya mambinti kutofauru vizuri masomo na malanyingine wengine wanafanikiwa kwenda mbele lakini kutokana na tatizo la ukosefu wa sodo bado wanakuwa sio wataalamu wazuri.

 Afisa  Afya Mkuu wizara ya Afya  ameeleza umuhimu wa Afya  kwa akina mama wa badae ikiwa ni kuongeza  uwelewa  kwa jamii,   ambapo  ameeleza juu ya kaulimbiu ya wizara ikiwa ni uchochezi mkubwa wa kila mtu kwenye jamii. 

                                                                                                                                     ‘’TUVUNJE UKIMYA’’

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - BABATI MJI June 29, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI - BABATI MJI June 17, 2022
  • NAFASI ZA KAZI - HALMASHAURI YA MJI WA BABATI May 24, 2022
  • Kanuni za Utoaji na Usimamizi wa Mikopo Kwa Vikundi vya Wanawake, Vijana Na Watu Wenye Ulemavu May 17, 2019
  • Tazama Zote

Habari mpya

  • KIKAO CHA 39 CHA RCC MKOA WA MANYARA

    February 20, 2025
  • KIKAO CHA BODI YA BARABARA MKOA WA MANYARA

    February 19, 2025
  • RC SENDIGA AZINDUA KLINIKI YA MADAKTARI BINGWA MKOANI MANYARA

    November 20, 2024
  • TIMU YA USIMAMIZI WA AFYA MKOA WA MANYARA WAJENGEWA UWEZO KUKABILIANA NA DHARURA ZA KIAFYA NA MAJANGA

    November 14, 2024
  • Tazama Zote

Video

Vuta Pumzi, Funguka, Ongea na Mkuu wa Mkoa
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Miongozo ya OR-TAMISEMI
  • Kanuni za Uchaguzi
  • Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi
  • Mwongozo wa OPRAS
  • Maadili
  • Fomu za Opras
  • Fomu ya Ugonjwa

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • wizara ya Fedha
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Siri
    • Kanusho
    • Ramani Elekezi

Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.