• Maswali ya Mara kwa Mara (MMM) |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • e-Mrejesho |
Manyara Regional Secretariat
Manyara Regional Secretariat

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Sekretarieti ya Mkoa wa Manyara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Sehemu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Huduma za Elimu
      • Serikali za mitaa
      • Huduma za Afya
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Uhasibu
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Mji wa Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hanang'
    • Halmashuri ya Wilaya ya Mbulu
    • Halmashauri ya Mji Mbulu
    • Halmashauri ya wilaya ya Kiteto
    • Halmasahuri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Madini
    • Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Huduma kwa wateja
    • Huduma kwa wafanyakazi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogondogo
    • Ripoti
    • Mpango Kazi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Picha
    • Hotuba
    • Video
    • Habari

Ofisi ya Mkuu wa mkoa Manyara kinara kwa usafi Tanzania

Imechapishwa Tarehe: December 31st, 2019

Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Manyara imekabidhiwa tuzo ya Afya ya usafi wa mazingira baada ya kushika nasafi ya kwanza katika mashindano ya Afya na usafi wa mazingira ambazo zilijumuisha ofisi zote za wakuu wa mikoa Tanzania bara.

Akizungumza wakati wa kukabidhi tuzo hizo ambazo zinatolewa na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh. Alexander Mnyeti Katibu Tawala wa Mkoa wa Manyara Bw. Missaile Musa amesema kuwa Ofisi ya Mkoa imezawadiwa cheti cha afya na usafi wa mazingira,Ngao na Fedha Taslimu kiasi cha shilingi Milioni tatu  kutokana na kuyatunza mazingirz katika hali ya usafi na kuyaboresha zaidi.

Katibu Tawala wa Mkoa wa Manyara amekabidhi cheti cha Afya na usafi wa mazingira, hundi ya shilingi milioni tatu, ngao na cheti cha ufanisi kupitia mazingira na kuwataka wafanyakazi waimarishe usafi zaidi.

Akizungumza baada ya kupokea zawadi hizo Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh. Alexander Mnyeti amewapongeza wafanyakazi wote katika ofisi yake kwa kupata tuzo hiyo.

“Mkoa wa Manyara uko vizuri katika kila sekta sio tu kwa upande wa mazingira nataka kila mfanyakazi afanye kazi kwa bidii mkoa wetu tunafanya kazi hatupigi kelele nawatakia sikukuu njema ya kupokea mwaka mpya wa 2020”Amesisitiza Mh. Mnyeti.

Tuzo ya Afya na usafi wa mazingira zimekuwa zikitolewa kila mwaka kwa ofisi za wakuu wa mikoa wa Tanzania bara kwa lengo la kuomgeza ufanisi na kuimarisha usafi wa mazingira.

(Kwa picha mbalimbali angalia sehemu ya  Kituo cha Habari kisha nenda Maktaba ya Picha)

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - BABATI MJI June 29, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI - BABATI MJI June 17, 2022
  • NAFASI ZA KAZI - HALMASHAURI YA MJI WA BABATI May 24, 2022
  • Kanuni za Utoaji na Usimamizi wa Mikopo Kwa Vikundi vya Wanawake, Vijana Na Watu Wenye Ulemavu May 17, 2019
  • Tazama Zote

Habari mpya

  • KIKAO CHA 39 CHA RCC MKOA WA MANYARA

    February 20, 2025
  • KIKAO CHA BODI YA BARABARA MKOA WA MANYARA

    February 19, 2025
  • RC SENDIGA AZINDUA KLINIKI YA MADAKTARI BINGWA MKOANI MANYARA

    November 20, 2024
  • TIMU YA USIMAMIZI WA AFYA MKOA WA MANYARA WAJENGEWA UWEZO KUKABILIANA NA DHARURA ZA KIAFYA NA MAJANGA

    November 14, 2024
  • Tazama Zote

Video

Vuta Pumzi, Funguka, Ongea na Mkuu wa Mkoa
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Miongozo ya OR-TAMISEMI
  • Kanuni za Uchaguzi
  • Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi
  • Mwongozo wa OPRAS
  • Maadili
  • Fomu za Opras
  • Fomu ya Ugonjwa

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • wizara ya Fedha
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Siri
    • Kanusho
    • Ramani Elekezi

Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.