• Maswali ya Mara kwa Mara (MMM) |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • e-Mrejesho |
Manyara Regional Secretariat
Manyara Regional Secretariat

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Sekretarieti ya Mkoa wa Manyara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Sehemu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Huduma za Elimu
      • Serikali za mitaa
      • Huduma za Afya
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Uhasibu
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Mji wa Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hanang'
    • Halmashuri ya Wilaya ya Mbulu
    • Halmashauri ya Mji Mbulu
    • Halmashauri ya wilaya ya Kiteto
    • Halmasahuri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Madini
    • Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Huduma kwa wateja
    • Huduma kwa wafanyakazi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogondogo
    • Ripoti
    • Mpango Kazi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Picha
    • Hotuba
    • Video
    • Habari

Ofisi ya Waziri Mkuu yatoa mafunzo kwa kamati ya maafa mkoa wa Manyara

Imechapishwa Tarehe: February 24th, 2020

Kamati ya maafa Mkoa wa Manyara leo Jumatatu tarehe 24/02/2020 imepatiwa mafunzo na Waratibu wa maafa kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu  ya jinsi ya kujikinga na kudhibiti maafa pindi yanapotokea.

Akifungua mafunzo hayo Katibu Tawala Mkoa wa Manyara Bwana Missaile Musa aliwataka washiriki wa mafunzo kufuatilia na kushika kila wanalofundishwa na wataalam hao ili kuweza kufikisha utaalam huo kwa ngazi mbalimbali kuanzia ngazi ya kata hadi ya Halmashauri ili Jamii za Mkoa wa Manyara ziweze kupata elimu na kuweza kukabiliana na maafa pindi yatokeapo.

“Nawahusia washiriki wote wa mafunzo haya mfuatilie kwa makini ili myapeleke kwa jamii zetu ili jamii hizo ziweze kujifun za namna ya kukabiliana na maafa” Alisema Katibu Tawala.

Akiwasilisha mada Mratibu wa Maafa kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu katika mafunzo hayo  yaliyofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Manyara Bwana Harrison Chinyuka  amesisistiza kwa kamati kutoa mafunzo kwa kamati za Wilaya, Halmashauri, Kata hadi ngazi ya Jamii juu ya kujikinga kuliko kudhibiti katika maeneo yao kwani kujikinga kunapunguza gharama kuliuko kudhibiti.

“Kila Idara,na kila mwananchi ana jukumu la kushughulikia maafa na tukitoa elimu kwa kiwango cha hali ya juu maafa yatapungua kwakiasi kikubwa mno” Alisema Bwa Chinyuka.

Kamati ya Maafa ya Mkoa wa Manyara inaundwa na Wakuu wa sehemu na vitengo,viongozi wa dini,wazee wa mila,Jeshi la zima moto na uokoaji,Chama cha msalaba mwekundu pamoja na vyama vya siasa.

Mafunzo hayo yanayoendeshwa kwa siku mbili yanatajiwa kwisha siku ya Jumanne tarehe 25 /02/2020  yamedhaminiwa na Chama cha Msalaba Mwekundu Tanzania.

(Kwa picha mbalimbali angalia sehemu ya  Kituo cha Habari kisha nenda Maktaba ya Picha)

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - BABATI MJI June 29, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI - BABATI MJI June 17, 2022
  • NAFASI ZA KAZI - HALMASHAURI YA MJI WA BABATI May 24, 2022
  • Kanuni za Utoaji na Usimamizi wa Mikopo Kwa Vikundi vya Wanawake, Vijana Na Watu Wenye Ulemavu May 17, 2019
  • Tazama Zote

Habari mpya

  • KIKAO CHA 39 CHA RCC MKOA WA MANYARA

    February 20, 2025
  • KIKAO CHA BODI YA BARABARA MKOA WA MANYARA

    February 19, 2025
  • RC SENDIGA AZINDUA KLINIKI YA MADAKTARI BINGWA MKOANI MANYARA

    November 20, 2024
  • TIMU YA USIMAMIZI WA AFYA MKOA WA MANYARA WAJENGEWA UWEZO KUKABILIANA NA DHARURA ZA KIAFYA NA MAJANGA

    November 14, 2024
  • Tazama Zote

Video

Vuta Pumzi, Funguka, Ongea na Mkuu wa Mkoa
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Miongozo ya OR-TAMISEMI
  • Kanuni za Uchaguzi
  • Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi
  • Mwongozo wa OPRAS
  • Maadili
  • Fomu za Opras
  • Fomu ya Ugonjwa

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • wizara ya Fedha
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Siri
    • Kanusho
    • Ramani Elekezi

Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.