• Maswali ya Mara kwa Mara (MMM) |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • e-Mrejesho |
Manyara Regional Secretariat
Manyara Regional Secretariat

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Sekretarieti ya Mkoa wa Manyara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Sehemu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Huduma za Elimu
      • Serikali za mitaa
      • Huduma za Afya
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Uhasibu
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Mji wa Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hanang'
    • Halmashuri ya Wilaya ya Mbulu
    • Halmashauri ya Mji Mbulu
    • Halmashauri ya wilaya ya Kiteto
    • Halmasahuri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Madini
    • Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Huduma kwa wateja
    • Huduma kwa wafanyakazi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogondogo
    • Ripoti
    • Mpango Kazi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Picha
    • Hotuba
    • Video
    • Habari

Rais Samia kushiriki Ibada ya kitaifa ya kumbukizi ya kifo cha Hayati J.K Nyerere Oktoba 14, 2023 Mjini Babati

Imechapishwa Tarehe: October 11th, 2023

Mkoa wa Manyara unakwenda kuweka historia ya kuwa mwenyeji wa matukio matatu ya Kitaifa ikiwemo uhitimishaji wa Mbio za Mwenge Uhuru 2023, Ibada maalum ya Kumbukizi ya Kifo cha Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere pamoja Maadhimisho ya Wiki ya Vijana Kitaifa 2023.

Akizungumza na wanahabari mapema leo katika Uwanja wa Tanzanite Kwaraa mjini Babati, Mkuu wa mkoa wa Manyara Mhe. Queen Cuthbert Sendiga amesema kuwa mkoa umepata neema ya ajabu kwa kupata matukio makubwa ya kitaifa.

Kwa mujibu wa taarifa iliyosomwa katika Ibada iliyofanyika katika Kanisa la Parokia ya Roho Mtakatifu iliyopo katika Mtaa wa Ngarenaro Mjini Babati imesema kuwa ibada hiyo itaanza saa 1.30 asubuhi na itaendeshwa na Mhashamu Baba Askofu Anton Lagwen. Ibada hiyo itahudhuriwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mama Maria Nyerere pamoja na viongozi mbali mbali watakaokuwa wameambatana nao.

"Niwaombe Wananchi wa Mkoa wa Manyara pamoja na wageni wote kutoka nje ya mkoa  wajitokeze kwa wingi, kwanza kumpokea Rais wetu mpendwa Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja na viongozi wote watakaoambatana nae katika mkoa wetu, vile vile niwaombe mjitokeze kwa wingi siku ya tukio lenyewe Katika Uwanja wa Tanzanite Kwaraa," amesema Mhe. Queen.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - BABATI MJI June 29, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI - BABATI MJI June 17, 2022
  • NAFASI ZA KAZI - HALMASHAURI YA MJI WA BABATI May 24, 2022
  • Kanuni za Utoaji na Usimamizi wa Mikopo Kwa Vikundi vya Wanawake, Vijana Na Watu Wenye Ulemavu May 17, 2019
  • Tazama Zote

Habari mpya

  • KIKAO CHA 39 CHA RCC MKOA WA MANYARA

    February 20, 2025
  • KIKAO CHA BODI YA BARABARA MKOA WA MANYARA

    February 19, 2025
  • RC SENDIGA AZINDUA KLINIKI YA MADAKTARI BINGWA MKOANI MANYARA

    November 20, 2024
  • TIMU YA USIMAMIZI WA AFYA MKOA WA MANYARA WAJENGEWA UWEZO KUKABILIANA NA DHARURA ZA KIAFYA NA MAJANGA

    November 14, 2024
  • Tazama Zote

Video

Vuta Pumzi, Funguka, Ongea na Mkuu wa Mkoa
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Miongozo ya OR-TAMISEMI
  • Kanuni za Uchaguzi
  • Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi
  • Mwongozo wa OPRAS
  • Maadili
  • Fomu za Opras
  • Fomu ya Ugonjwa

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • wizara ya Fedha
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Siri
    • Kanusho
    • Ramani Elekezi

Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.