• Maswali ya Mara kwa Mara (MMM) |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • e-Mrejesho |
Manyara Regional Secretariat
Manyara Regional Secretariat

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Sekretarieti ya Mkoa wa Manyara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Sehemu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Huduma za Elimu
      • Serikali za mitaa
      • Huduma za Afya
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Uhasibu
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Mji wa Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hanang'
    • Halmashuri ya Wilaya ya Mbulu
    • Halmashauri ya Mji Mbulu
    • Halmashauri ya wilaya ya Kiteto
    • Halmasahuri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Madini
    • Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Huduma kwa wateja
    • Huduma kwa wafanyakazi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogondogo
    • Ripoti
    • Mpango Kazi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Picha
    • Hotuba
    • Video
    • Habari

PICHA ZA ZIARA YA MAKAMU WA RAIS WILAYANI SIMANJIRO

  • Jiwe la Msingi la ukuta wa madini ya Tanzanite lililowekwa na Rasi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Dkt.John Pombe Magufuli

    Waziri wa Madini Mh.Angella Kairuki (kushoto) akiteta jambo na Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro Mh.Zephania Chaula (kulia) wakati wa ziara Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan katika mgodi wa Madini ya Tanzanite huko Mirerani 15 Novemba,2018.

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan akisalimiana Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro Mh.Zephania Chaula alipowasili katika mgodi wa Madini ya Tanzanite huko Mirerani 15 Novemba,2018.

    Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh.Alexander Mnyeti (kushoto),Waziri wa Madini Mh.Angella Kairuki (katikati) wakimsubiri Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan katika mgodi wa Madini ya Tanzanite huko Mirerani 15 Novemba,2018.

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan akiangalia Madini ya Tanzanite katika mgodi wa Madini ya Tanzanite huko Mirerani 15 Novemba,2018.

    Waziri wa Madini Mh.Angella Kairuki (kushoto) akimpa maelezo Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan alipotembelea mgodi wa Madini ya Tanzanite huko Mirerani 15 Novemba,2018.

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan akiondoka katika mgodi wa Madini ya Tanzanite huko Mirerani mara baada ya kutembelea mgodini hapo 15 Novemba,2018.

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan akiwasili katika mgodi wa Madini ya Kinywe (Graphite) huko Mirerani 15 Novemba,2018.

    Baadhi ya Viongozi wa CCM wakiwa katika mkutano na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan katika mgodi wa Madini ya Kinywe (Graphite) Mirerani Wilaya ya Simanjiro 15 Novemba,2018.

    Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro Mh. Zephania Chaula akitambulisha wageni katika ziara ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan katika mgodi wa madini ya Kinywe (Graphite) huko Mirerani Wilaya ya Simanjiro 15 Novemba,2018.

    Baadhi ya Wafanyakazi wa Mgodi wa Madini ya Kinywe (Graphite) wakiwa katika mkutano na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan huko Mirerani Wilaya ya Simanjiro 15 Novemba,2018.

    Viongozi wa kamati ya Ulinzi na Usalama wa Mkoa wa Manyara wakiwa katika ziara ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan katika mgodi wa madini ya Kinywe (Graphite) huko Mirerani Wilaya ya Simanjiro 15 Novemba,2018.

    Katibu Tawala Mkoa wa Manyara Bw. Missaile Musa akiwa na baadhi ya Viongozi wa Ulinzi na Usalama wa Mkoa wa Manyara katika ziara ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan katika mgodi wa madini ya Kinywe (Graphite) huko Mirerani Wilaya ya Simanjiro 15 Novemba,2018.

    Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh. Alexender Mnyeti akitambulisha wageni katika ziara ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan katika mgodi wa madini ya Kinywe (Graphite) huko Mirerani Wilaya ya Simanjiro 15 Novemba,2018.

    Waziri wa Madini Mh.Angella Kairuki katika ziara ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan katika mgodi wa madini ya Kinywe (Graphite) huko Mirerani Wilaya ya Simanjiro 15 Novemba,2018.

    Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Manyara katika ziara ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan katika mgodi wa madini ya Kinywe (Graphite) huko Mirerani Wilaya ya Simanjiro 15 Novemba,2018.

    Meneja wa mgodi wa Madini ya Kinywe akisoma ropoti juu ya mgodi huo katika ziara ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan katika mgodi wa madini ya Kinywe (Graphite) huko Mirerani Wilaya ya Simanjiro 15 Novemba,2018.

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan akizindua mgodi wa madini ya Kinywe (Graphite) huko Mirerani Wilaya ya Simanjiro 15 Novemba,2018.

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuonesha katika mgodi wa madini ya Kinywe (Graphite) huko Mirerani Wilaya ya Simanjiro 15 Novemba,2018.

    Jiwe la Mingi la Mgodi wa wa madini ya Kinywe (Graphite) lililowekwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan huko Mirerani Wilaya ya Simanjiro 15 Novemba,2018.

    Baadhi ya Wananchi wakiwa katika mkutano wa hadhara na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan huko Orkesumet Wilaya ya Simanjiro 15 Novemba,2018.

    Baadhi ya Wafanyakazi na Wananchi wakiwa katika mkutano wa hadhara na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan huko Orkesumet Wilaya ya Simanjiro 15 Novemba,2018.

    Baadhi ya Viongozi wa CCM,Wafanyakazi na Wananchi wakiwa katika mkutano wa hadhara na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan huko Orkesumet Wilaya ya Simanjiro 15 Novemba,2018.

    Baadhi ya Viongozi wa CCM,Wafanyakazi na Wananchi wakiwa katika mkutano wa hadhara na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan huko Orkesumet Wilaya ya Simanjiro 15 Novemba,2018.

    Baadhi ya Viongozi wa CCM,Wafanyakazi na Wananchi wakiwa katika mkutano wa hadhara na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan huko Orkesumet Wilaya ya Simanjiro 15 Novemba,2018.

    Baadhi ya Wananchi wakiwa katika mkutano wa hadhara na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan huko Orkesumet Wilaya ya Simanjiro 15 Novemba,2018.

    Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro Mh. Zephania Chaula akitambulisha wageni katika ziara ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan huko Orkesumet Wilayani Simanjiro 15 Novemba,2018.

    Baadhi ya Wananchi wakiwa katika mkutano wa hadhara na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan huko Orkesumet Wilaya ya Simanjiro 15 Novemba,2018.

    Baadhi ya Wananchi wakiwa katika mkutano wa hadhara na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan huko Orkesumet Wilaya ya Simanjiro 15 Novemba,2018.

    Baadhi ya Wananchi wakiwa katika mkutano wa hadhara na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan huko Orkesumet Wilaya ya Simanjiro 15 Novemba,2018.

    Mbunge wa Viti Maalum CCM Mh. Ester Mahawe katika ziara ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan huko Orkesumet Wilaya ya Simanjiro 15 Novemba,2018.

    Waziri wa Madini Mh.Angella Kairuki katika ziara ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan huko Orkesumet Wilaya ya Simanjiro 15 Novemba,2018.

    Waziri OR-TAMISEMI Mh.Suleiman Jaffo katika ziara ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan huko Orkesumet Wilaya ya Simanjiro 15 Novemba,2018.

    Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Manyara Mh. Saimon Lulu katika ziara ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan huko Orkesumet Wilaya ya Simanjiro 15 Novemba,2018.

    Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh. Alexander Mnyeti katika ziara ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan huko Orkesumet Wilaya ya Simanjiro 15 Novemba,2018.

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan akihutubia mkutano wa hadhara huko Orkesumet Wilaya ya Simanjiro 15 Novemba,2018.

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan akimpa zawadi kiongozi wa kikundi cha burudani huko Orkesumet Wilaya ya Simanjiro 15 Novemba,2018.

    Baadhi ya Wananchi wakiwa katika mkutano wa hadhara na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan huko Orkesumet Wilaya ya Simanjiro 15 Novemba,2018.

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan akihutubia mkutano wa hadhara huko Orkesumet Wilaya ya Simanjiro 15 Novemba,2018.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - BABATI MJI June 29, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI - BABATI MJI June 17, 2022
  • NAFASI ZA KAZI - HALMASHAURI YA MJI WA BABATI May 24, 2022
  • Kanuni za Utoaji na Usimamizi wa Mikopo Kwa Vikundi vya Wanawake, Vijana Na Watu Wenye Ulemavu May 17, 2019
  • Tazama Zote

Habari mpya

  • KIKAO CHA 39 CHA RCC MKOA WA MANYARA

    February 20, 2025
  • KIKAO CHA BODI YA BARABARA MKOA WA MANYARA

    February 19, 2025
  • RC SENDIGA AZINDUA KLINIKI YA MADAKTARI BINGWA MKOANI MANYARA

    November 20, 2024
  • TIMU YA USIMAMIZI WA AFYA MKOA WA MANYARA WAJENGEWA UWEZO KUKABILIANA NA DHARURA ZA KIAFYA NA MAJANGA

    November 14, 2024
  • Tazama Zote

Video

Vuta Pumzi, Funguka, Ongea na Mkuu wa Mkoa
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Miongozo ya OR-TAMISEMI
  • Kanuni za Uchaguzi
  • Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi
  • Mwongozo wa OPRAS
  • Maadili
  • Fomu za Opras
  • Fomu ya Ugonjwa

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • wizara ya Fedha
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

    • Sera za Siri
    • Kanusho
    • Ramani Elekezi

Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.