• Maswali ya Mara kwa Mara (MMM) |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • e-Mrejesho |
Manyara Regional Secretariat
Manyara Regional Secretariat

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Sekretarieti ya Mkoa wa Manyara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Sehemu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Huduma za Elimu
      • Serikali za mitaa
      • Huduma za Afya
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Uhasibu
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Mji wa Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hanang'
    • Halmashuri ya Wilaya ya Mbulu
    • Halmashauri ya Mji Mbulu
    • Halmashauri ya wilaya ya Kiteto
    • Halmasahuri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Madini
    • Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Huduma kwa wateja
    • Huduma kwa wafanyakazi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogondogo
    • Ripoti
    • Mpango Kazi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Picha
    • Hotuba
    • Video
    • Habari

ZIARA YA MKUU WA MKOA WA MANYARA WILAYANI SIMANJIRO

  • Jengo la Darasa Shule ya Msingi Kitwai B lililowekwa Jiwe la Msingi na Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh.Alexander Mnyeti alipotembelea Wilayani Simanjiro Aprili 24,2019.

    Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh.Alexander P. Mnyeti akiweka jiwe na Msingi katika Shule ya Msingi Kitwai B Aprili 24,2019.

    Jiwe la Msingi Shule ya Msingi Kitwai B.

    Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh.Alexander Mnyeti akiweka jiwe la Msingi katika Shule ya Msingi Irkujit alipotembelea Wilayani Simanjiro Aprili 24,2019.

    Jengo la Darasa Shule ya Msingi Irkujit lililowekwa Jiwe la Msingi na Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh.Alexander Mnyeti alipotembelea Wilayani Simanjiro Aprili 24,2019.

    Kikundi cha Burudani cha kabila la Kimasai huko Irkujiti akitoa burudani kwa wananchi.

    Wananchi wa Kijiji cha Irkujit Wilayani Simanjiro wakiwa katika Mkutano wa hadhara wa Mkuu wa Mkoa wa Manyara Aprili 24,2019.

    Katibu Tawala Mkoa wa Manyara Bw.Mussa Missale akisalimiana na Wananchi katika Mkutano wa hadhara katika Kijiji cha Irkujit Wilayani Simanjiro Aprili 24,2019.

    Baadhi ya Wakuu wa Vitengo na Sehemu kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Manyara wakisalimiana na Wananchi katika Mkutano wa hadhara katika Kijiji cha Irkujit Wilayani Simanjiro Aprili 24,2019.

    Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Irkujit akimkabidhi ripoti ya ujenzi wa Madarasa Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh. Alexander Mnyeti Aprili 24,2019.

    Mwananchi wa Orkujit akitoa maoni katika Mkutano wa hadhara wakati wa ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Manyara Aprili 24,2019.

    Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh. Alexander Mnyeti akihutubia Wananchi katika Mkutano wa hadhara katika Kijiji cha Irkujit Wilayani Simanjiro Aprili 24,2019.

    Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh.Alexander Mnyeti akiwa katika vazi la Kimasai huko katika Kijiji Orkujit Aprili 24,2019.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - BABATI MJI June 29, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI - BABATI MJI June 17, 2022
  • NAFASI ZA KAZI - HALMASHAURI YA MJI WA BABATI May 24, 2022
  • Kanuni za Utoaji na Usimamizi wa Mikopo Kwa Vikundi vya Wanawake, Vijana Na Watu Wenye Ulemavu May 17, 2019
  • Tazama Zote

Habari mpya

  • KIKAO CHA 39 CHA RCC MKOA WA MANYARA

    February 20, 2025
  • KIKAO CHA BODI YA BARABARA MKOA WA MANYARA

    February 19, 2025
  • RC SENDIGA AZINDUA KLINIKI YA MADAKTARI BINGWA MKOANI MANYARA

    November 20, 2024
  • TIMU YA USIMAMIZI WA AFYA MKOA WA MANYARA WAJENGEWA UWEZO KUKABILIANA NA DHARURA ZA KIAFYA NA MAJANGA

    November 14, 2024
  • Tazama Zote

Video

Vuta Pumzi, Funguka, Ongea na Mkuu wa Mkoa
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Miongozo ya OR-TAMISEMI
  • Kanuni za Uchaguzi
  • Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi
  • Mwongozo wa OPRAS
  • Maadili
  • Fomu za Opras
  • Fomu ya Ugonjwa

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • wizara ya Fedha
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Siri
    • Kanusho
    • Ramani Elekezi

Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.