• Maswali ya Mara kwa Mara (MMM) |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • e-Mrejesho |
Manyara Regional Secretariat
Manyara Regional Secretariat

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Sekretarieti ya Mkoa wa Manyara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Sehemu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Huduma za Elimu
      • Serikali za mitaa
      • Huduma za Afya
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Uhasibu
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Mji wa Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hanang'
    • Halmashuri ya Wilaya ya Mbulu
    • Halmashauri ya Mji Mbulu
    • Halmashauri ya wilaya ya Kiteto
    • Halmasahuri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Madini
    • Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Huduma kwa wateja
    • Huduma kwa wafanyakazi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogondogo
    • Ripoti
    • Mpango Kazi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Picha
    • Hotuba
    • Video
    • Habari

ZIARA YA MNYETI WILAYANI SIMANJIRO

  • Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh.Alexander Mnyeti (kulia) akipata maelezo kutoka kwa Bw.Charles Meneja uzalishaji wa Kiwanda cha Kusindika Nyama kilichopo Kijiji cha Naberera Wilayani Simanjiro 17 Septemba,2018.

    Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh.Alexander Mnyeti (kulia) akipata maelezo kutoka kwa Bw.Charles Meneja uzalishaji wa Kiwanda cha Kusindika Nyama kilichopo Kijiji cha Naberera Wilayani Simanjiro 17 Septemba,2018.

    Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh.Alexander Mnyeti (katikati) akipata maelezo akikagua Kiwanda cha Kusindika Nyama kilichopo Kijiji cha Naberera Wilayani Simanjiro 17 Septemba,2018.

    Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh.Alexander Mnyeti (kulia) akipata maelezo kutoka kwa Bw.Charles Meneja uzalishaji wa Kiwanda cha Kusindika Nyama kilichopo Kijiji cha Naberera Wilayani Simanjiro 17 Septemba,2018.

    Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh.Alexander Mnyeti (kushoto) akisaini kitabu cha wageni alipotembelea Kiwanda cha Kusindika Nyama kilichopo Kijiji cha Naberera Wilayani Simanjiro 17 Septemba,2018.

    Baadhi ya wajumbe waliohudhuria kikao cha kutatua mgogoro wa Kiwanda cha Kusindika Nyama kilichopo Kijiji cha Naberera Mkuu wa Mkoa wa Manyara Wilayani Simanjiro 17 Septemba,2018.

    Baadhi ya wajumbe waliohudhuria kikao cha kutatua mgogoro wa Kiwanda cha Kusindika Nyama kilichopo Kijiji cha Naberera Mkuu wa Mkoa wa Manyara Wilayani Simanjiro 17 Septemba,2018.

    Baadhi ya wajumbe waliohudhuria kikao cha kutatua mgogoro wa Kiwanda cha Kusindika Nyama kilichopo Kijiji cha Naberera Wilayani Simanjiro 17 Septemba,2018.

    Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh.Alexander Mnyeti (kulia) akisikiliza kero za wananchi mara baada ya kusimamisha msafara wake Kijiji cha Naberera Wilayani Simanjiro 17 Septemba,2018.

    Baadhi ya wananchi waliohudhuria Mkutano wa hadhara katika Kijiji cha Katikati na Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh.Alexander Mnyeti Wilayani Simanjiro 17 Septemba,2018.

    Baadhi ya wananchi wa kitongoji cha Katikati Wilayani Simanjiro waliofurika kumsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh.Alexander Mnyeti akitatua mgogoro wa Ardhi uliodumu kwa miaka kumi. 17 Septemba,2018.

    Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh.Alexander Mnyeti (katikati) akisaini kitabu cha wageni alipofanya mkutano wa hadhara Kitongoji cha Katikati Wilayani Simanjiro 17 Septemba,2018.

    Baadhi ya wananchi wa kitongoji cha Katikati Wilayani Simanjiro waliofurika kumsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh.Alexander Mnyeti akitatua mgogoro wa Ardhi uliodumu kwa miaka kumi. 17 Septemba,2018.

    Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh.Alexander Mnyeti akihutubia mkutano wa hadhara Kitongoji cha Katikati Wilayani Simanjiro 17 Septemba,2018.

    Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh.Alexander Mnyeti akikagua ujenzi wa Jengo la Maktaba na Maabara ya Kompyuta Shule ya Sekondari Emboreet Wilayani Simanjiro 17 Septemba,2018.

    Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh.Alexander Mnyeti akikagua maeneo ya Shule ya Sekondari Emboreet Wilayani Simanjiro 17 Septemba,2018.

    Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh.Alexander Mnyeti akikagua Mti alioupanda Shule ya Sekondari Emboreet Wilayani Simanjiro 17 Septemba,2018.

    Mti alioupanda Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh.Alexander Mnyeti katika Shule ya Sekondari Emboreet Wilayani Simanjiro 17 Septemba,2018.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - BABATI MJI June 29, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI - BABATI MJI June 17, 2022
  • NAFASI ZA KAZI - HALMASHAURI YA MJI WA BABATI May 24, 2022
  • Kanuni za Utoaji na Usimamizi wa Mikopo Kwa Vikundi vya Wanawake, Vijana Na Watu Wenye Ulemavu May 17, 2019
  • Tazama Zote

Habari mpya

  • KIKAO CHA 39 CHA RCC MKOA WA MANYARA

    February 20, 2025
  • KIKAO CHA BODI YA BARABARA MKOA WA MANYARA

    February 19, 2025
  • RC SENDIGA AZINDUA KLINIKI YA MADAKTARI BINGWA MKOANI MANYARA

    November 20, 2024
  • TIMU YA USIMAMIZI WA AFYA MKOA WA MANYARA WAJENGEWA UWEZO KUKABILIANA NA DHARURA ZA KIAFYA NA MAJANGA

    November 14, 2024
  • Tazama Zote

Video

Vuta Pumzi, Funguka, Ongea na Mkuu wa Mkoa
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Miongozo ya OR-TAMISEMI
  • Kanuni za Uchaguzi
  • Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi
  • Mwongozo wa OPRAS
  • Maadili
  • Fomu za Opras
  • Fomu ya Ugonjwa

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • wizara ya Fedha
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

    • Sera za Siri
    • Kanusho
    • Ramani Elekezi

Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.