• Maswali ya Mara kwa Mara (MMM) |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • e-Mrejesho |
Manyara Regional Secretariat
Manyara Regional Secretariat

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Sekretarieti ya Mkoa wa Manyara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Sehemu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Huduma za Elimu
      • Serikali za mitaa
      • Huduma za Afya
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Uhasibu
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Mji wa Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hanang'
    • Halmashuri ya Wilaya ya Mbulu
    • Halmashauri ya Mji Mbulu
    • Halmashauri ya wilaya ya Kiteto
    • Halmasahuri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Madini
    • Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Huduma kwa wateja
    • Huduma kwa wafanyakazi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogondogo
    • Ripoti
    • Mpango Kazi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Picha
    • Hotuba
    • Video
    • Habari

ZIARA YA NAIBU WAZIRI OR-TAMISEMI MH: Mwita Waitara

  • Naibu Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi Mh.Abdallah Ulega akiwa katika kikao na watumishi wa Halmashauri za Mji wa Babati na Halmashauri ya Wilaya ya Babati wakati wa ziara ya Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mh. Mwita Waitara 13 Desemba,2018.

    Naibu Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi Mh.Abdallah Ulega akizungumza na watumishi wa Halmashauri za Mji wa Babati na Halmashauri ya Wilaya ya Babati wakati wa ziara ya Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mh. Mwita Waitara 13 Desemba,2018.

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mh. Mwita Waitara akiongea na watumishi wa Halmashauri ya Mji Babati na Halmashauri ya wilaya ya Babati alipofanya ziara ya kikazi Mkoani Manyara tarehe 13 Desemba,2018.

    Baadhi ya watumishi wa Halmashauri ya Mji Babati na Halmashauri ya Wilaya ya Babati wakimsikiliza Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mh.Mweita Waitara (hayupo pichani) alipofanya ziara ya kikazi Mkoani Manyara tarehe 13 Desemba,2018.

    Baadhi ya wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama Wilaya ya Babati wakimsikiliza Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mh.Mweita Waitara (hayupo pichani) alipofanya ziara ya kikazi Mkoani Manyara tarehe 13 Desemba,2018.

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mh.Mweita Waitara (kushoto) na Mkuu wa Wilaya ya Babati Mh.Elizabeth Kitundu (kulia) wakiwa katika kikao na watumishi wa Halmashauri ya Mji Babati na Halmashauri ya Wilaya ya Babati Mkoani Manyara tarehe 13 Desemba,2018.

    Mkuu wa Wilaya ya Babati Mh.Elizabeth Kitundu (kushoto) na Mbunge wa Jimbo la Babati Mjini Mh. Pauline Gekul wakiwa katika kikao na watumishi wa Halmashauri ya Mji Babati na Halmashauri ya Wilaya ya Babati Mkoani Manyara wakati wa ziara ya Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mh.Mwita Waitara tarehe 13 Desemba,2018.

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mh.Mweita Waitara (kushoto) na Mkuu wa Wilaya ya Babati Mh.Elizabeth Kitundu (kulia) wakiwa katika kikao na watumishi wa Halmashauri ya Mji Babati na Halmashauri ya Wilaya ya Babati Mkoani Manyara tarehe 13 Desemba,2018.

    Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Babati Bw.William Hhaaly akisoma taarifa kwa Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mh.Mwita Waitara Mkoani Manyara tarehe 13 Desemba,2018 alipofanya ziara ya kikazi.

    Mkuu wa Wilaya ya Babati Mh.Elizabeth Kitundu akiongea kabla ya kumkaribisha Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mh.Mwita Waitara kuongea na watumishi wa Halmashauri ya Mji Babati na Halmashauri ya Wilaya ya Babati Mkoani Manyara wakati wa ziara ya kikazi tarehe 13 Desemba,2018.

    Baadhi ya watumishi wa Halmashauri ya Mji Babati na Halmashauri ya Wilaya ya Babati wakimsikiliza Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mh.Mweita Waitara (hayupo pichani) alipofanya ziara ya kikazi Mkoani Manyara tarehe 13 Desemba,2018.

    Mkuu wa Wilaya ya Babati Mh.Elizabeth Kitundu akiongea kabla ya kumkaribisha Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mh.Mwita Waitara kuongea na watumishi wa Halmashauri ya Mji Babati na Halmashauri ya Wilaya ya Babati Mkoani Manyara wakati wa ziara ya kikazi tarehe 13 Desemba,2018.

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Manyara Mh.Ester Mahawe akiongea wakati wa ziara ya Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mh.Mwita Waitara Mkoani Manyara tarehe 13 Desemba,2018.

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Manyara Mh.Ester Mahawe akiongea wakati wa ziara ya Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mh.Mwita Waitara Mkoani Manyara tarehe 13 Desemba,2018.

    Mbunge wa Babati Vijijini Mh.Jitu Soni akiongea wakati wa ziara ya Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mh.Mwita Waitara Mkoani Manyara tarehe 13 Desemba,2018.

    Mbunge wa Jimbo la Babati Mjini Mh.Pauline Gekul akiongea wakati wa ziara ya Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mh.Mwita Waitara Mkoani Manyara tarehe 13 Desemba,2018.

    Mwenyekiti wa CCM Babati Mjini Mh. Elizabeth Malley akiongea wakati wa ziara ya Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mh.Mwita Waitara Mkoani Manyara tarehe 13 Desemba,2018.

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mh. Mwita Waitara akiongea na watumishi wa Halmashauri ya Mji Babati na Halmashauri ya wilaya ya Babati alipofanya ziara ya kikazi Mkoani Manyara tarehe 13 Desemba,2018.

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mh. Mwita Waitara akiongea na watumishi wa Halmashauri ya Mji Babati na Halmashauri ya wilaya ya Babati alipofanya ziara ya kikazi Mkoani Manyara tarehe 13 Desemba,2018.

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mh. Mwita Waitara akiongea na watumishi wa Halmashauri ya Mji Babati na Halmashauri ya wilaya ya Babati alipofanya ziara ya kikazi Mkoani Manyara tarehe 13 Desemba,2018.

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mh. Mwita Waitara akiongea na watumishi wa Halmashauri ya Mji Babati na Halmashauri ya wilaya ya Babati alipofanya ziara ya kikazi Mkoani Manyara tarehe 13 Desemba,2018.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - BABATI MJI June 29, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI - BABATI MJI June 17, 2022
  • NAFASI ZA KAZI - HALMASHAURI YA MJI WA BABATI May 24, 2022
  • Kanuni za Utoaji na Usimamizi wa Mikopo Kwa Vikundi vya Wanawake, Vijana Na Watu Wenye Ulemavu May 17, 2019
  • Tazama Zote

Habari mpya

  • WAKURUGENZI WA HALMASHAURI ZA MKOA WA MANYARA WATAKIWA KUSIMAMIA UTEKELEZAJI WA MIKATABA YA LISHE.

    September 12, 2025
  • MKUU WA MKOA WA MANYARA ATETA NA WAANDISHI WA HABARI KUHUSIANA NA UCHAGUZI MKUU 2025

    October 21, 2025
  • RC SENDIGA AWATAKA WAMILIKI WA MIGODI SIMANJIRO KUJIKITA KATIKA KUPUNGUZA UGONJWA WA TB NA SILICOSIS

    October 20, 2025
  • WAJASIRIAMALI MKOA WA MANYARA WATAKIWA KUONGEZEA THAMANI MAZAO YA MBOGAMBOGA NA MIKUNDE

    October 10, 2025
  • Tazama Zote

Video

Vuta Pumzi, Funguka, Ongea na Mkuu wa Mkoa
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Miongozo ya OR-TAMISEMI
  • Kanuni za Uchaguzi
  • Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi
  • Mwongozo wa OPRAS
  • Maadili
  • Fomu za Opras
  • Fomu ya Ugonjwa

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • wizara ya Fedha
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

    • Sera za Siri
    • Kanusho
    • Ramani Elekezi

Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.