• Maswali ya Mara kwa Mara (MMM) |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • e-Mrejesho |
Manyara Regional Secretariat
Manyara Regional Secretariat

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Sekretarieti ya Mkoa wa Manyara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Sehemu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Huduma za Elimu
      • Serikali za mitaa
      • Huduma za Afya
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Uhasibu
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Mji wa Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Babati
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hanang'
    • Halmashuri ya Wilaya ya Mbulu
    • Halmashauri ya Mji Mbulu
    • Halmashauri ya wilaya ya Kiteto
    • Halmasahuri ya Wilaya ya Simanjiro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Madini
    • Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Huduma kwa wateja
    • Huduma kwa wafanyakazi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogondogo
    • Ripoti
    • Mpango Kazi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Picha
    • Hotuba
    • Video
    • Habari

Naibu Waziri wa Kilimo atembelea Mashamba ya Basotu Mkoani Manyara

Imechapishwa Tarehe: July 3rd, 2020

Naibu waziri wa Kilimo Mheshimiwa Hussein Bashe  leo 3/7/2020 amefanya ziara ya siku mija Mkoani Manyara kwa kukutana na wataalam wa Kilimo katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Manyara na kutembelea mashamba ya ngano yaliyopo wilaya ya Hanang

Akimkarisha Naibu Waziri huyo Mkoani Manyara Katibu Tawala Mkoa wa Manyara Bwana Musa Missaile alisema Mkoa wa Manyara unazalisha mazao mbalimbali kama vile Mahindi,Mbaazi,Ufuta,Maharage, Pamba,Vitunguu saum,Vitunguu maji  na mazao mengine katika wilaya zote tano za Mkoa wa Manyara kwa kutegemea mvua na kilimo cha umwagiliaji katika baadhi ya maeneo.Pamoja na Mkoa wa Manyara kulima mazao mbalimbali Katibu Tawala alisema Mkoa unakabiliwa na changamoto ya usafiri kwa wataalam wa kilimo ili kuweza kufika katika maeneo mengi ya Mkoa kulingana na ukubwa wa Mkoa na upungufu  wa Maafisa Ugani katika ngazi za Halmashauri.

“Mheshimiwa Naibu Waziri Mkoa wa Manyara ukipata Maafisa ugani wa kutosha katika Halmashauri zetu tuna uhakika wa kuzalisha zaidi kwani kijiografia Wilaya zote za Mkoa wetu zinazalisha mazao ya aina mbalimbali kwa kutegemea mvua na kilimo cha umwagiliaji,kwa kupata Maafisa ugani kutawawazesha kwenda kwa wakulima kufundisha njia bora za kilimo na kuongeza uzalishaji” Alisema Katibu Tawala.

Akijibu hoja hiyo Mheshimiwa Naibu Waziri Bashe aliahidi kuhakikisha kuwateta Mkoa wa Manyara wanafunzi wanaotarajia kufanya mafunzo kwa vitendo ili waweze kusaidia wakulima Mkoani Manyara.

“Wizara itawaletea Maafisa Ugani waliopo katika mafunzo kwa vitendo ili wawasaidie wakulima wetu lakini na nyinyi kama Mkoa muwahakikishie kuwapa huduma za malazi kwa kipindi chote watakachokuwepo Mkoani Manyara” Alisisitiza Mheshimiwa Bashe.

Mara baada ya kukuribishwa Mkoani Mheshimiwa Naibu Waziri alikwenda Wilayani Hanang na kutembelea Mashamba ya Ngano Basotu.

Mheshimiwa Naibu Waziri alipofika katika  mashamba hayo alifanya ukaguzi wa mitambo mbalimbali iliyopo katika shamba hilo na kugundua upotezu wa vifaa na uvamizi wa eneo la shamba na kumuagiza Mkuu wa Wilaya ya Hanang na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang kushirikiana na Jeshi la wananchi kuhakikisha mashamba ya ngano Basoti yanalindwa ili kuzuia upotevu wa mitambo na uvamizi  katika shamba hilo.

“ Nimeangalia shamba lina eneo kubwa na mitambo mikubwa yenye thamani kubwa sana lakini kuna baadhi ya vifaa vinaibwa katika shamba hili, hivyo nakuagiza Mkuu wa Wilaya ya Hanang na Mkurugenzi wa Halmashauri hii kushirikiana na Jeshi ili kuhakikisha usalama wa mitambo na eneo la shamba halivamiwi tena.” Alisema Mheshimiwa Naibu Waziri.

Akiwa katika shamba la SETCHET Mheshimiwa Naibu Waziri alikutana na kuongea na Mwekazaji wa shamba hilo na kumtaka Mwekezaji huyo kuhakikisha Wafanyakazi wanalipwa kwa wakati, wanapata stahiki zao kulingana na mikataba waliongia na mwekezaji wa shamba hilo.

Akihitimisha ziara hiyo Mheshimiwa Naibu Waziri ameigiza Bodi ya mazao mchanganyiko kuhakikisha ngano inanunuliwa kwa bei iliyopo sokoni bila ya wakulima kukopwa na kuwataka Maafisa ugani walipo kuhakikisha wanatoe elimu ya kilimo bora, vilevile aliagiza Kampuni ya Ngano Ltd ipewe eneo la kulima kulingana na uwezo wake kwani imepewa eneo kubwa lakini hawawezi kulima eneo lote.

Ziara ya Mheshimiwa Naibu Waziri wa Kilimo ni muendelezo wa ziara viongozi wa Serikali ya awamu ya tano katika kuhakikisha inaleta maendeleo kwa wananchi wa Tanzania.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - BABATI MJI June 29, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI - BABATI MJI June 17, 2022
  • NAFASI ZA KAZI - HALMASHAURI YA MJI WA BABATI May 24, 2022
  • Kanuni za Utoaji na Usimamizi wa Mikopo Kwa Vikundi vya Wanawake, Vijana Na Watu Wenye Ulemavu May 17, 2019
  • Tazama Zote

Habari mpya

  • KIKAO CHA 39 CHA RCC MKOA WA MANYARA

    February 20, 2025
  • KIKAO CHA BODI YA BARABARA MKOA WA MANYARA

    February 19, 2025
  • RC SENDIGA AZINDUA KLINIKI YA MADAKTARI BINGWA MKOANI MANYARA

    November 20, 2024
  • TIMU YA USIMAMIZI WA AFYA MKOA WA MANYARA WAJENGEWA UWEZO KUKABILIANA NA DHARURA ZA KIAFYA NA MAJANGA

    November 14, 2024
  • Tazama Zote

Video

Vuta Pumzi, Funguka, Ongea na Mkuu wa Mkoa
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Miongozo ya OR-TAMISEMI
  • Kanuni za Uchaguzi
  • Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi
  • Mwongozo wa OPRAS
  • Maadili
  • Fomu za Opras
  • Fomu ya Ugonjwa

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • wizara ya Fedha
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Waliotembelea

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Siri
    • Kanusho
    • Ramani Elekezi

Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.