Naibu Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto amesema kuwa Serikali imetoa shilingi Bilioni thelathini ili kujenga Hospitali za Rufaa za Mikoa nchi nzima!!
Naibu Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto ametembelea kituo cha kulelea wazee kilichopo magugu Mkoani Manyara na kuzitaka Jamii kuwa wakwanza kuwalea wazee katika jamii zao.
Naibu waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Dkt.Faustine Ndugulile amewataka wananchi kuongeza juhudi katika lishe ili kuepukana na udumavu.
Copyright ©2022 Manyara Region Secretariet . All rights reserved.