Mkoa wa Manyara umezindua Kampeni ya Upimaji wa Virusi vya ukimwi kwa hiyari siku ya Tarehe 29/08/2018 Wilayani Hanang.
Waziri wa Madini amesema kuwa mapato yanayotokana na Madini ya Tanzanite yameongezeka maradufu na Serikali iko katika hatua za mwisho kukamilisha mchakato wa kuwa hati miliki madini ya Tanzanite ili Taifa liweze kunufaika zaidi na mauzo ya madini hayo yanayopatikana Tanzania.
Wadau wa Afya Mkoani Manyara wamekutana Wilayani Hanang Mkoani Manyara na kujadili mambo mbalimbali yanayohusu Afya Mkoani humo na kubuni mbinu za kuzitatua.
Copyright ©2021 Manyara Region . All rights reserved.