Imechapishwa Tarehe: March 5th, 2021
Mamlaka ya anga Tanzania imeanza mchakato wa ujenzi wa Uwanja wa ndege uliopo Kata ya Mwada Kijiji cha Mbuyuni Mkoani Manyara.
Hayo yamesemwa leo na Katibu Tawala wa Mkoa wa Manyara Bwana Musa Miss...
Imechapishwa Tarehe: February 9th, 2021
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Joseph Mkirikiti amefurahishwa na mradi wa maji wa Mayoka- Minjingu unaogharimu shilingi bilioni mbili unaojengwa na Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUW...
Imechapishwa Tarehe: February 8th, 2021
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Joseph Mkirikiti amemuagiza Meneja wa Tanesco Wilaya ya Kiteto Mhandisi Lazaro Lenoy kuhakikisha anatatua kero za upatikanaji wa umeme katika wilaya hiyo ili wananchi ...