Imechapishwa Tarehe: August 30th, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Manyara amewataka Maafisa Ardhi wake kuhakikisha wanamaliza migogoro ya Ardhi kwa wananchi ili kuwafanya wananchi wa Mkoa wa Manyara kuishi bila migogoro katika Mkoa huo.
Hayo aliya...
Imechapishwa Tarehe: August 30th, 2018
Kampeni za upimaji virusi vya ukimwi kwa hiari zilizinduliwa rasmi tarehe 29/8/2018 katika wilaya ya Hanang mkoa wa Manyara. Kampeni hizo zililenga kuhamasisha, kuelimisha na juu ya upimaji wa V...
Imechapishwa Tarehe: August 28th, 2018
Wadau wa Afya wa mkoa wa Manyara wamekutana tareha 27 na 28 mwezi wa 8 mwaka 2018 katika Halmashauri ya wilaya ya Hanang kujadili taarifa mbalimbali za kiafya ,changamoto,mafanikio, malengo ya kubores...