Imechapishwa Tarehe: October 19th, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe.Joseph Mkirikiti amezitaka jamii kuwaheshimu wazee katika maeneo yao kwani wazee ni watu muhimu katika Taifa lolote.
Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa ameyasema hayo leo katik...
Imechapishwa Tarehe: September 18th, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe.Joseph Mkirikiti amezitaka taasisi mbalimbali za kifedha zilizomo Mkoani humo kutoa mikopo kwa makundi mbalimbali ya wenye ulemavu ili makundi hayo yapate mikopo na k...
Imechapishwa Tarehe: September 17th, 2020
Wakala wa Maji Vijijini RUWASA katika Wilaya ya Mbulu imepanga kutumia zaidi ya Bilioni tatu kutekeleza miradi ya maji ili kuondoa kero za upatikanaji wa maji katika wilaya hiyo.
Hayo yamesemwa leo...