Imechapishwa Tarehe: June 16th, 2019
Kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru Kitaifa Mzee Mkongea Alli amewataka wazazi kuacha tabia ya kuwaozesha watoto wa kike mapema, kwani kitendo hiko kinawanyima fursa nyingi za maendeleo.
...
Imechapishwa Tarehe: May 27th, 2019
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) Mhandisi Joseph Nyamhanga amewaagiza Makatibu Tawala Mikoa Tanzania Bara kusimamia vyema miradi yote ya maendeleo katika Mi...
Imechapishwa Tarehe: May 29th, 2019
Serikali imetenga fedha kiasi cha shilingi Bilioni 29.9 kukamilisha ujenzi wa maboma ya shule za sekondari yapatayo 2,392 nchini ili kuwawezesha wanafunzi wote kuweza kujiunga na elimu ya sekondari ka...