Imechapishwa Tarehe: December 31st, 2019
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Manyara imekabidhiwa tuzo ya Afya ya usafi wa mazingira baada ya kushika nasafi ya kwanza katika mashindano ya Afya na usafi wa mazingira ambazo zilijumuisha ofisi zote za wak...
Imechapishwa Tarehe: December 10th, 2019
Balozi wa Indonesia nchini Tanzania amewaahidi wafanyabiashara Mkoani manyara kuwaunganisha na wafanyabiashara wa nchi ya Indonesia ili waweze kufanya biashara kwa pamoja...
Imechapishwa Tarehe: December 11th, 2019
Wafungwa 207 wameachiwa huru Mkoani Manyara kati ya wafungwa 5533 waliochiwa huru na Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alioutoa katika maadhimisho...