Imechapishwa Tarehe: October 26th, 2018
Naibu Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) ameipa siku tano za kazi kuanzia tarehe 26.10.2018 Wakala ya Uchimbaji Visima na Ujenzi wa Mabwawa (DDCA) kukamilisha kazi iliyosalia ya kufanya majaribio ya...
Imechapishwa Tarehe: October 22nd, 2018
Naibu waziri wa Maji Jumaa Aweso amemuagiza Katibu Mkuu wawizara ya Maji kutoa kibali cha kufanya tathmini ya eneo la chanzo cha maji cha Bonga wilayani Babati mkoa wa Manyara ili mradi uweze...
Imechapishwa Tarehe: October 19th, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh.Alexander Mnyeti amewataka wafanyakazi wote waliopo Mkoani Manyara kufanya kazi kwa bidii ili kutatua kero za wananchi Mkoani Manyara.
Mh.Mnyeti aliyasema hayo alipokuwa ...