Imechapishwa Tarehe: January 23rd, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amewaagiza viongozi wa Wazira ya Madini na Wizara ya Fedha na Mpango kujadiliana na kukubaliana na wadau wa madini kuhusu utaratib...
Imechapishwa Tarehe: January 22nd, 2019
Serikali imesema kuwa mwaka huu inatarajia kuajiri walimu wapya 6000 wa masomo ya Sayansi na Hesabu ambapo tayari kibali cha kuwaajiri walimu hao kimekwishatolewa.
Aidha Serikali inakusudia kuwapel...
Imechapishwa Tarehe: January 21st, 2019
Halmashauri 33 kati ya halmashauri 185 zimeweza kukusanya mapato ya ndani kwa kiwango cha asilimia 50 na zaidi ya makisio ya mwaka wa fedha 2018/19 huku halmashauri 21 zikiwa zimefanya vib...