Imechapishwa Tarehe: January 15th, 2020
Mkuu wa mkoa wa Manyara Alexander Mnyeti akizungumza na Wenyeviti na watendaji wa Mitaa na vijiji, amewataka kuacha tabia ya kulalamika kwa viongozi pindi wanapofika kwenye maeneo yao, na badala...
Imechapishwa Tarehe: December 31st, 2019
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Manyara imekabidhiwa tuzo ya Afya ya usafi wa mazingira baada ya kushika nasafi ya kwanza katika mashindano ya Afya na usafi wa mazingira ambazo zilijumuisha ofisi zote za wak...
Imechapishwa Tarehe: December 10th, 2019
Balozi wa Indonesia nchini Tanzania amewaahidi wafanyabiashara Mkoani manyara kuwaunganisha na wafanyabiashara wa nchi ya Indonesia ili waweze kufanya biashara kwa pamoja...